Baada ya kulipa Mahari kwao Ndipo nimegundua ana Majini

Kwa miaka mitatu hajawai pandisha kabisa
Yaani iyo miaka miaka mitatu hatukuwahi kuishi nyumba moja, ni binti mdogo tu miaka 23 sasa, alikuwa anaishi kwao paka nilipotoa mahari ndio nikachukua binti na kwenda nae kwangu.
NB. Tulikuw na mahusiano ya mbali kwani tulikuw tunaishi mikoa tofauti, baada ya kumtokea mahari ndio nikamtoa kwao ambapo ni mkoa tofauti nikamleta mkoa ninakoishi mimi
 
Mpeleke kwa Mwamposa huyo, majini hakuna kitu wanakiogopa kama jina la Yesu.
Nashukuru mkuu japo huwa Naona kama hawa manabii ni matapeli/wajasiliamali wa kiimani. Lakini Kwa vile nimepewa ushuhuda na mtu humu humu Jf ambaye naye aligundua tatizo kama langu baada ya kuanza kuishi na mke wake, anadai alikwenda kweny Hayo makanisa ya Upako akapona na sasa Wana watoto wawili hajawahi kurudi kwny Hali iyo
 
Mungu akusimamie mkuu maana najua ni mtihani huo
 
Nimemuuliza kwanini hakuniambia mapema majibu yake eti ningemuacha, sasa nifanyeje ndugu zangu na mahari nimeshalipa?
Amekupa jibu la hofu yake, na mengine bado huyajui kwasababu hiyo, kazi kwako!
 
Huko ulipo mtoa mapepo kwao ni jambo la kawaida na wanayapenda na kila mmoja anaye wake. Mpeleke akaombewe haraka kwa wachungaji atakaa Sawa.
 
Dai chako
 
Upendo wa kweli hupimwa kwenye magumu
 
Kwa Kipindi hicho chote hatukuwahi kuishi pamoja mkuu, ndio tumeishi week moja tu sasa naiona iyo hali. Pia ukisema muongo unamaanisha izo nguvu za ajabu alizonionesha mbele yangu zilitoka wapi?
Kama unampenda ishi nae....hyo hali akishajifungua na kuwa busy na familia inapotea kabsa.

Naongea kwa uzoefu 💯%
 
Wewe nawe, Gonga kitimoto mpaka waarabu wote wamtoke
Mimi kuna mmoja niliona mapicha picha nikadhani ananitega kumbe majini yamempanda,nilimpiga pu*mbu sawa sawa majini yakatulia karibia miaka 8 sasa sijasikia tena amepatwa na majini.
 
Kwanini usiowe mwanamke wa dini yako au wakristo wenzio wameisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…