Baada ya kulipa Mahari kwao Ndipo nimegundua ana Majini

Wakuu kwema?
Ipo hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani Kwa muda wa miaka mitatu.

Mwanzoni mwa mwaka huu nikasema sasa ni muda muafaka wa Mimi kwenda nyumbani kwao nikatoe mahari ili nimiliki mke rasmi.

Kweli tarehe za mwanzo wa mwezi January mwaka huu, nilipeleka ujumbe wangu kwao na binti, tukakubaliana mahari, nikalipa kiasi chote cha mahari tulichokubaliana.

Sasa wakati tukiwa tumeanza taratibu zingine ili tufunge ndoa ya bomani kwa maana tunatofauti ya kiimani Kati yetu, Ndipo nimegundua hii kitu.
Binti ana maruhani/majini, nimeshuhudia kwa macho yangu akifanya jambo lisilo la kawaida.

Tulikiwa tunakula chakula wote, mara gafla akaanza kudai kifua kinamuuma na akaanza kujishika kifua chake karibu na shingo na kujibana.

Kwakuwa sikuwahi kumuona kwenye hali hiyo, Nilinyanyuka gafla kutoka kweny kiti nilichokuwa nimekaa ili kumpa msaada Lakini nilikutana na upinzani wa hali ya juu sana kutoka kwake. Niliomba msaada kwa majilani ndipo walitokea watu wa wakunisaidia na hapo hapo nikapiga simu kwao ili nipate ufafanuzi labda hii hali wanaijua, wakaniambia nimwache atatulia mwenyewe.

Baada ya siku mbili kupita nimekaa nae chini kumuuliza kwanini alikuwa vile majibu yake ni kuwa ana Majini, nimejaribu kuuliza baadhi ya ndugu zake nao kumbe wanafahamu.

Nimemuuliza kwanini hakuniambia mapema majibu yake eti ningemuacha, sasa nifanyeje ndugu zangu na mahari nimeshalipa?
Ukisikia kutapeliwa ndo huko, mgalatia unataka kuoa mtoto wa Muddy? Katafute wa imani yako.
 
Ila unajua kufukuza jini Moja yanaweza kuleta tisa😂😂
Bora tu akae na huyo jini mmoja
😂 Ni kweli ndio maana ni lazima muhusika yeye mwenyewe akubali.

Baada ya hapo atapewa Nini Cha kufanya ili kujilinda ... Maana kutoa jini pasipo kuweka ulinzi ni kazi bure
 
Kama majini yenyewe ni Jini Abdalah lazima liwe linapiga mashine. Ukizuba na wewe linakuzibua mtaro. Kimbia jamaa angu.
 
Kwa hiyo ukitoa mahari ndo ushaoa, utaratibu mpya huu
Kwa taarifa yako huo wa bomani au kanisani ndio utaratibu mpya na kama hujui pia ndio chanzo cha kuwaempawa wanawake kua na jeuli ya kudai mgawane mali. Huamini muulize babu yako atakupa taarifa kamili
 
Kazi unayo ila isiwe shida kutoa mahari hakukuzuii kuachana nae tena kimya kimya hata kama ni ndoa bado unaweza kusepa zako.Wanwake ndo viumbe wenye kuongoza kuwa na majini na usiombe ukutane na wale wa 2000s
 
Wakuu kwema?
Ipo hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani Kwa muda wa miaka mitatu.

Mwanzoni mwa mwaka huu nikasema sasa ni muda muafaka wa Mimi kwenda nyumbani kwao nikatoe mahari ili nimiliki mke rasmi.

Kweli tarehe za mwanzo wa mwezi January mwaka huu, nilipeleka ujumbe wangu kwao na binti, tukakubaliana mahari, nikalipa kiasi chote cha mahari tulichokubaliana.

Sasa wakati tukiwa tumeanza taratibu zingine ili tufunge ndoa ya bomani kwa maana tunatofauti ya kiimani Kati yetu, Ndipo nimegundua hii kitu.
Binti ana maruhani/majini, nimeshuhudia kwa macho yangu akifanya jambo lisilo la kawaida.

Tulikiwa tunakula chakula wote, mara gafla akaanza kudai kifua kinamuuma na akaanza kujishika kifua chake karibu na shingo na kujibana.

Kwakuwa sikuwahi kumuona kwenye hali hiyo, Nilinyanyuka gafla kutoka kweny kiti nilichokuwa nimekaa ili kumpa msaada Lakini nilikutana na upinzani wa hali ya juu sana kutoka kwake. Niliomba msaada kwa majilani ndipo walitokea watu wa wakunisaidia na hapo hapo nikapiga simu kwao ili nipate ufafanuzi labda hii hali wanaijua, wakaniambia nimwache atatulia mwenyewe.

Baada ya siku mbili kupita nimekaa nae chini kumuuliza kwanini alikuwa vile majibu yake ni kuwa ana Majini, nimejaribu kuuliza baadhi ya ndugu zake nao kumbe wanafahamu.

Nimemuuliza kwanini hakuniambia mapema majibu yake eti ningemuacha, sasa nifanyeje ndugu zangu na mahari nimeshalipa?
Fursa iyo tumia hao majini kukuletea hela.
Lakini Jua kwamba apo umewalipia mahari na majini ukijaribu kumuacha Mzee umekwisha watakuua.
 
Hao wapuuzi huwa asilimia kubwa hawapendi uzinifu au uchepukaji😁
Ni kweli ila wenyewe pia hawajatulia wanapelekeshwa na majini waliyonayo.Huwa majini yanawaongoza kutembea na mtu yoyote n huwa hachomoi baadae ndo akili inamjia anagundua alichofanyia lakini ameshaliwa.Huwa wanapoteza fahamu wakiwa kitandani na baadhi ya wanaume wasio waaminifu huwala hadi kinyeo wakati wamepoteza akili za kawaida. Wanawake wa namna hii huishia kuolewa na waganga wa kienyeji
 
Wakuu kwema?
Ipo hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani Kwa muda wa miaka mitatu.

Mwanzoni mwa mwaka huu nikasema sasa ni muda muafaka wa Mimi kwenda nyumbani kwao nikatoe mahari ili nimiliki mke rasmi.

Kweli tarehe za mwanzo wa mwezi January mwaka huu, nilipeleka ujumbe wangu kwao na binti, tukakubaliana mahari, nikalipa kiasi chote cha mahari tulichokubaliana.

Sasa wakati tukiwa tumeanza taratibu zingine ili tufunge ndoa ya bomani kwa maana tunatofauti ya kiimani Kati yetu, Ndipo nimegundua hii kitu.
Binti ana maruhani/majini, nimeshuhudia kwa macho yangu akifanya jambo lisilo la kawaida.

Tulikiwa tunakula chakula wote, mara gafla akaanza kudai kifua kinamuuma na akaanza kujishika kifua chake karibu na shingo na kujibana.

Kwakuwa sikuwahi kumuona kwenye hali hiyo, Nilinyanyuka gafla kutoka kweny kiti nilichokuwa nimekaa ili kumpa msaada Lakini nilikutana na upinzani wa hali ya juu sana kutoka kwake. Niliomba msaada kwa majilani ndipo walitokea watu wa wakunisaidia na hapo hapo nikapiga simu kwao ili nipate ufafanuzi labda hii hali wanaijua, wakaniambia nimwache atatulia mwenyewe.

Baada ya siku mbili kupita nimekaa nae chini kumuuliza kwanini alikuwa vile majibu yake ni kuwa ana Majini, nimejaribu kuuliza baadhi ya ndugu zake nao kumbe wanafahamu.

Nimemuuliza kwanini hakuniambia mapema majibu yake eti ningemuacha, sasa nifanyeje ndugu zangu na mahari nimeshalipa?
Sasa unataka kumwachia nani, huo ndio ubavu wako na ndio Mtihani wako

Hakikisha hayo majini yanatoka na Binti anakuwa salama, Ole wako umuache
 
Sasa si mtaji huo kuna shida gani,
Mtengee chumba chake kimoja kwa ajili ya swala na hicho ndipo patakuwa kilingeni kazi kwako kutafuta wateja!
 
Jaribu kuyatoa hayo majini zipo Dawa

Usimuache kisa maruhani .

Nipe location nije nimtibu mke wako mkuu.
upo wapi mkuu?

mimi mke wangu kanikimbia.. hataki mawasiliano tena na mimi akisikia simu yangu anaikata
 
Back
Top Bottom