Baada ya kulipa Mahari kwao Ndipo nimegundua ana Majini

Wakuu kwema?
Ipo hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani Kwa muda wa miaka mitatu.

Mwanzoni mwa mwaka huu nikasema sasa ni muda muafaka wa Mimi kwenda nyumbani kwao nikatoe mahari ili nimiliki mke rasmi.

Kweli tarehe za mwanzo wa mwezi January mwaka huu, nilipeleka ujumbe wangu kwao na binti, tukakubaliana mahari, nikalipa kiasi chote cha mahari tulichokubaliana.

Sasa wakati tukiwa tumeanza taratibu zingine ili tufunge ndoa ya bomani kwa maana tunatofauti ya kiimani Kati yetu, Ndipo nimegundua hii kitu.
Binti ana maruhani/majini, nimeshuhudia kwa macho yangu akifanya jambo lisilo la kawaida.

Tulikiwa tunakula chakula wote, mara gafla akaanza kudai kifua kinamuuma na akaanza kujishika kifua chake karibu na shingo na kujibana.

Kwakuwa sikuwahi kumuona kwenye hali hiyo, Nilinyanyuka gafla kutoka kweny kiti nilichokuwa nimekaa ili kumpa msaada Lakini nilikutana na upinzani wa hali ya juu sana kutoka kwake. Niliomba msaada kwa majilani ndipo walitokea watu wa wakunisaidia na hapo hapo nikapiga simu kwao ili nipate ufafanuzi labda hii hali wanaijua, wakaniambia nimwache atatulia mwenyewe.

Baada ya siku mbili kupita nimekaa nae chini kumuuliza kwanini alikuwa vile majibu yake ni kuwa ana Majini, nimejaribu kuuliza baadhi ya ndugu zake nao kumbe wanafahamu.

Nimemuuliza kwanini hakuniambia mapema majibu yake eti ningemuacha, sasa nifanyeje ndugu zangu na mahari nimeshalipa?
Muowe tu huyo bint majini huo yanatolewa atapona tu ni suala la kutulia chini mpate wajuzi wa Kazi hizo
 
Muache haraka sana, samehe mahali, endelea na maisha yako, please muache usisumbiliwe na mahari,

Tena ni mapema sasa na hamna mtoto, so muache as early as possible, usijitengenezee majuto huko mbele ya maisha!!
 
Kajipatia na bonus, vijana lalamishi lalamishi sana hawaaa.. anashindwa kupeleka moto na kwa mjini kweli . Vijana wa kileo taabu sanaa
Wewe Noah Scribe hatari Sana! Umenisabanisha nicheke sana asubuhi hii. 🤣🤣🤣🤣🤣
 
upo wapi mkuu?

mimi mke wangu kanikimbia.. hataki mawasiliano tena na mimi akisikia simu yangu anaikata
Nipo DSM mkuu Kama anapitia hali Kama ya Maruhan , kupanic n.k naweza kuja kumuona akakaa sawa
 
Wakuu kwema?
Ipo hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani Kwa muda wa miaka mitatu.

Mwanzoni mwa mwaka huu nikasema sasa ni muda muafaka wa Mimi kwenda nyumbani kwao nikatoe mahari ili nimiliki mke rasmi.

Kweli tarehe za mwanzo wa mwezi January mwaka huu, nilipeleka ujumbe wangu kwao na binti, tukakubaliana mahari, nikalipa kiasi chote cha mahari tulichokubaliana.

Sasa wakati tukiwa tumeanza taratibu zingine ili tufunge ndoa ya bomani kwa maana tunatofauti ya kiimani Kati yetu, Ndipo nimegundua hii kitu.
Binti ana maruhani/majini, nimeshuhudia kwa macho yangu akifanya jambo lisilo la kawaida.

Tulikiwa tunakula chakula wote, mara gafla akaanza kudai kifua kinamuuma na akaanza kujishika kifua chake karibu na shingo na kujibana.

Kwakuwa sikuwahi kumuona kwenye hali hiyo, Nilinyanyuka gafla kutoka kweny kiti nilichokuwa nimekaa ili kumpa msaada Lakini nilikutana na upinzani wa hali ya juu sana kutoka kwake. Niliomba msaada kwa majilani ndipo walitokea watu wa wakunisaidia na hapo hapo nikapiga simu kwao ili nipate ufafanuzi labda hii hali wanaijua, wakaniambia nimwache atatulia mwenyewe.

Baada ya siku mbili kupita nimekaa nae chini kumuuliza kwanini alikuwa vile majibu yake ni kuwa ana Majini, nimejaribu kuuliza baadhi ya ndugu zake nao kumbe wanafahamu.

Nimemuuliza kwanini hakuniambia mapema majibu yake eti ningemuacha, sasa nifanyeje ndugu zangu na mahari nimeshalipa?
Kwa miaka mitatu hajawai pandisha kabisa
 
Shenz type...hawa kenge utasikia ndoa kitu gani lakini ona sasa wanamficha hadi jini kuwa wanaolewa. Jini limejua limecharuka mbususu yake kwenda kusasambuliwa na binadamu 🤣🤣🤣🤣
 
Tafuta namna ya kumsaidia kumtoa hayo majini au jipange vile utaweza kuishi nae na Hali yake ukishindwa hayo sema nae kwa amani mtapata muafaka wa pamoja.
Mm nawaza yapande mbele ya wageni au jikoni Daah ,Mungu atusaidie
 
Mkuu mahari sio kitu, wala sina shida kuiacha, ninachowaza ni je sitapatwa na ivo vitu? Pia ni MTU anayenijali Sana kama mume wake na amekuwa akilia nisimuache Kwa sababu ya ilo tatizo lake, kwaio namimi ninamuonea huruma kumuacha
Suala la kuendelea nae au kumuacha inategemea na aina ya hilo tatizo kwa maana kwanza ujue hao majini wapo kwa sababu zipi? Yani ulifahamu vizuri kwanza tatizo ndipo ufanye maamuzi kama linatatulika mtatue tatizo mmuendelee na maisha.

Kwa sababu mkuu hayo majini yapo sana hasa kwa wanawake hivyo unaweza ukaoa mwanamke akawa anayo na yanamuathiri sio yote hufanya kama ulivyoona kwa mkeo mtarajiwa.
 
Mpende yeye na Majini yake si ushaambiwa aga anatulia mwenyewe, kuna watu wana balaa zaid vumilia hilo Mkuu au mtafutie tiba.
 
Wakuu kwema?
Ipo hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani Kwa muda wa miaka mitatu.

Mwanzoni mwa mwaka huu nikasema sasa ni muda muafaka wa Mimi kwenda nyumbani kwao nikatoe mahari ili nimiliki mke rasmi.

Kweli tarehe za mwanzo wa mwezi January mwaka huu, nilipeleka ujumbe wangu kwao na binti, tukakubaliana mahari, nikalipa kiasi chote cha mahari tulichokubaliana.

Sasa wakati tukiwa tumeanza taratibu zingine ili tufunge ndoa ya bomani kwa maana tunatofauti ya kiimani Kati yetu, Ndipo nimegundua hii kitu.
Binti ana maruhani/majini, nimeshuhudia kwa macho yangu akifanya jambo lisilo la kawaida.

Tulikiwa tunakula chakula wote, mara gafla akaanza kudai kifua kinamuuma na akaanza kujishika kifua chake karibu na shingo na kujibana.

Kwakuwa sikuwahi kumuona kwenye hali hiyo, Nilinyanyuka gafla kutoka kweny kiti nilichokuwa nimekaa ili kumpa msaada Lakini nilikutana na upinzani wa hali ya juu sana kutoka kwake. Niliomba msaada kwa majilani ndipo walitokea watu wa wakunisaidia na hapo hapo nikapiga simu kwao ili nipate ufafanuzi labda hii hali wanaijua, wakaniambia nimwache atatulia mwenyewe.

Baada ya siku mbili kupita nimekaa nae chini kumuuliza kwanini alikuwa vile majibu yake ni kuwa ana Majini, nimejaribu kuuliza baadhi ya ndugu zake nao kumbe wanafahamu.

Nimemuuliza kwanini hakuniambia mapema majibu yake eti ningemuacha, sasa nifanyeje ndugu zangu na mahari nimeshalipa?
Ray vanny - unaibiwa
 
Kwa Kipindi hicho chote hatukuwahi kuishi pamoja mkuu, ndio tumeishi week moja tu sasa naiona iyo hali. Pia ukisema muongo unamaanisha izo nguvu za ajabu alizonionesha mbele yangu zilitoka wapi?
Mpeleke kwa Mwamposa huyo, majini hakuna kitu wanakiogopa kama jina la Yesu.
 
Wakuu kwema?
Ipo hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani Kwa muda wa miaka mitatu.

Mwanzoni mwa mwaka huu nikasema sasa ni muda muafaka wa Mimi kwenda nyumbani kwao nikatoe mahari ili nimiliki mke rasmi.

Kweli tarehe za mwanzo wa mwezi January mwaka huu, nilipeleka ujumbe wangu kwao na binti, tukakubaliana mahari, nikalipa kiasi chote cha mahari tulichokubaliana.

Sasa wakati tukiwa tumeanza taratibu zingine ili tufunge ndoa ya bomani kwa maana tunatofauti ya kiimani Kati yetu, Ndipo nimegundua hii kitu.
Binti ana maruhani/majini, nimeshuhudia kwa macho yangu akifanya jambo lisilo la kawaida.

Tulikiwa tunakula chakula wote, mara gafla akaanza kudai kifua kinamuuma na akaanza kujishika kifua chake karibu na shingo na kujibana.

Kwakuwa sikuwahi kumuona kwenye hali hiyo, Nilinyanyuka gafla kutoka kweny kiti nilichokuwa nimekaa ili kumpa msaada Lakini nilikutana na upinzani wa hali ya juu sana kutoka kwake. Niliomba msaada kwa majilani ndipo walitokea watu wa wakunisaidia na hapo hapo nikapiga simu kwao ili nipate ufafanuzi labda hii hali wanaijua, wakaniambia nimwache atatulia mwenyewe.

Baada ya siku mbili kupita nimekaa nae chini kumuuliza kwanini alikuwa vile majibu yake ni kuwa ana Majini, nimejaribu kuuliza baadhi ya ndugu zake nao kumbe wanafahamu.

Nimemuuliza kwanini hakuniambia mapema majibu yake eti ningemuacha, sasa nifanyeje ndugu zangu na mahari nimeshalipa?
Ana majini? Una bahati sa mkuu! Demu akiwa akiwa na majini hwa na vibes zake. Kwanza hachepuki, halafu kwenye kupiga shoo huwa wana vibrate mwili mzima, hata nguvu zako zikiwa dhaifu lakini kile ukiwa unamgonga utajishangaa, utahisi kama ulirogwa basi muda huo ameku un-roga.
Dem mwenye majini ni rare product, mara nyingi ukiwa mpo kwenye show inakuwa kama mnapiga 3some, yaani madem wawili kwa mwanaume mmoja.

Tahadhari: Mkiwa kwenye kubingiribingiri usije ukakubali kumpa ulimi, usije kusema sikukwambia.
 
Back
Top Bottom