Baada ya kulitafakari sakata la DP World, nimegundua kuwa waislam walikuwa sahihi

Yanatokaje hayo mabilioni? na upitia wizara ipi? Hayo mabilioni yako kwenye bajeti y serikali? na ujadiriwa pale Dodoma? Naomba ufafanuzi mkuu kama una ABC ya MoU.
 
Hawa watu wanaoendeleza Udini ni wajinga tu. Ukiwauliza ni jinsi gani wanafaidika na dini zao hawataweza kukupa jibu.

Mimi ni Mkatoliki na nimezaliwa kwenye familia ya Kikatiliki. Lakini pamka kesho sioni ni jinsi gani nafaidka na utajiri wa kanisa zaidi ya kutoa sadaka na zaka.

Hao wapiga kelele ningewaelewa kama Kanisa lingekuwa linatoa ajira au matibabu kwa Wakatoliki peke yao. Nevertheless, hao wanaolialia na kjifanya wanapigania dini zao wasije shangaa watoto wao au wajukuu zao wanakuwa dini tofauti na zao kwa sasa. Leo wewe mkrtisto kesho mjukuu wako ni mwislamu and vice vesa.
 
Sitegemei kama kuna siku watakaa waelewe, wakishaona neno "kanisa" kwenye mada yoyote huwa wanachanganyikiwa akili wanaziweka pembeni, kinachobaki hapo ni kurukia mada kwa mihemko tu, matokeo yake swali moja tu akiulizwa anajidai halioni!.

Ajabu bado hajifunzi, usishangae kesho tena akarudia kuandika utumbo huo huo aliokosa majibu yake leo, udumavu wa kifikra ni jambo baya sana, they live and act like robots.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
DP World ni suala la kiuchumi ambalo wewe mleta mada unalichanganya na udini na hivyo kupoteza kabisa mantiki nzima ya uwekezaji pale bandari.

DP World wapo Uingereza, wapo Belgium, wapo pia India, na huko kote kuna masuala ya ukristo na uislam?.

Mimii ni mkatoliki kindakindaki ni mwanachama wa Moyo Mtakatifu wa Yesu Parokia ya Thomas More Mbezi Beach lakini naelewa DP World wanazo faida zipi kwenye uendeshaji mzima wa TPA na kwenye uchumi mzima wa Taifa.
 
Wekezeni maeneo mtambuka na kipaumbele kwa serikali na jamii kwa ujumla muone Kama serikali haitakubaliana nanyi ili mtoe huduma zitakazowamwagia mabilioni kwa miaka nenda Rudi. Tatizo hapo ninyi wenyewe na wanaowaongoza, fursa zinatafutwa lazima ifike mahala muwe na mikakati muhimu. Nafikiri, mmewekeza muda mwingi kuwachamba na kuwachambua wakristo hususani RC na kulialia muda mwingi badala ya kujipambanua kikamilifu katika kujenga uchumi wenu. Aidha, Ilmu akhera ni muhimu ni kweli, lakini msisahau mnaishi duniani ambako hekaheka ni nyingi hivyo msiache Ilmu dunia. Nafanya kazi vijijini kwenye mkoa mmojawapo wa kusini, Nina mifano hai. Tuwajibike na kupendana
 
Huu ni mtaji mkubwa sana kwenye liChama letu !
Miss understanding between people regarding their faith !!
Tutasubiri sana !!
Chama kimeshika hatamu na kitaendelea milele !!
Tutakuwa tunasema ni bora hao hao tuliowazoea maana Zimwi likujualo halikuli likakwisha !
😂😂😂🤣 wenye dini zenu poleni sana !!
 
Tatizo hawafuatilii, wanaongea tu kwa hisia za juu hawajui wakristo wanapambana kiasi gani kujitegemea na kutegemewa. Waambie kwa RC na wakristo kwa ujumla kauli mbiu ni "Ora et labora" (Kazi na Sala) matokeo yake Hadi madhehebu yaliyoanza juzi juzi tu unakuta tayari ya shule ama vyuo, na hata hospitals! Na isingekuwa hata lami wangeweka na ndio maana baadhi ya maeneo hata umeme na miradi mikubwa ya maji ni wao wameidhamini kwa zaidi ya asilimia 90
 
Kweli kabisa 🙏
Mimi mara nyingi huwa najiuliza hii inayoitwa Great thinkers ni nini hasa !
😅😅🙏
 
Ili tuendelee kuimarisha RC kwa fedha nyingi wanazotoza
 
Ili tuendelee kuimarisha RC kwa fedha nyingi wanazotoza
Kwani hospitali gani ya private wanatoza chini au sawa na serikali?
Kama huduma ni Bora na inakubalika lazima gharama zake zitakuwa tofauti. Uzuri hakuna anayelazimishwa kutibiwa hospital hizo ni maaumuzi ya mgonjwa na familia yake kwenda private au government. Kizuri gharama boss
 
Imeshaisha hiyo
 
Wap hayo matibabu yanatolewa bure???mbna mweupe hv
 
Katika wote wewe ndio umechangia kama inavyotakiwa kuchangia mada ukiwa mwenye hekima pekee
Yaani mtu anajiona ana elimu kasoma sana umombo ila akifungua mdomo unamuona hana elimu bali chuki binafsi
Mtu anatukana wenye dini wote kweli anajiita msomi

Bora umeandika hivyo kwa maoni yako bila mihemko na udini
Poleni mnaotukana ila jifunzeni kutetea hoja kwa ustaarabu na heshima
Tuko humu kujifunza mengi na kujibu kwa hoja ila matusi sio hoja wala sifa
 
Hakika huwa nashangazwa na watu wasioweza kuhandle roho zao katika hadhara za namna hii
 

Ajira kwenye hizo taasisi wanapewa priority Wakiristo maana serikali haina power ya kuamulia hizo taasisi nani aajiriwe!.

Yaani hizo hospitali zinaendeshwa kwa kodi ya umma ila Serikali haina power kwenye mangement, na ajira!
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…