Baada ya kulitafakari sakata la DP World, nimegundua kuwa waislam walikuwa sahihi

Sahihi kabisa !
 

..sikubaliani na hali iliyopo.

..ninachoeleza ni uhalisia wa siasa zetu.

..Ccm hata wakifanya jambo la kipuuzi na kijinai watafanya kila namna walihalalishe.

..usinilaumu mimi. Ilaumu Ccm na mauzauza inayotufanyia.
 
Hatuna uhakika na hayo dunia imebadilika unamwamini shekh/mchungaji huwa anaongoza ibada unakuja kumkuta na kashfa za ajabu , viongozi wa sasa pia wamekuwa wanafanya vitu for their own interests
 
Suala la DP World wala halihusiani na kisasi, kwani pesa za DP World wanapewa Waislam wa Tanzania?

Huwa mnaandika utumbo
 
..Samia katoa mil 150 kujenga kanisa.

..Magufuli alichangisha fedha kujenga msikiti.

..bado unaamini hii sio nchi ya Waislamu na Wakristo peke yao?
Hayo ni mambo ya wanasiasa, yanalenga kuwasaidia wao kisiasa kuliko Taifa. Ila hili la MoU ni la kitaifa!
 
Akisoma huu mchango amini nakwambia jamaa atatamani aufute uzi wake kukwepa aibu ya ku expose ubongo wake hewa.
Huu Uzi sifuti na ubongo hewa ni WA baba Yako.
Nilichosema nahisi waislam wamelipa kisasi,hii ni kama mbinu za hamas pale ambapo umati hautaki kuwaelewa hivyo kutumia mbinu za kujitoa ufahamu.
Uchukue Kodi ya umma uka finance biashara ya watu especially ya kidini katika nchi ambayo si ya kidini,unaona ni haki kweli hiyo??
 
Hapo kwa baba yangu kuwa ubongo box hewa hujakosea ni ukweli kabisa. Lakini haifuti ukweli na wewe ni kama baba yangu..
Happy new year mkuu
 
NAKAZIA!!!
 
Unaona Umeongea point kumbe kinyesi tu nani kakuambia bandari imeuzwa
 
Mleta mda ni punguani tu
 
Huu ni utumbo tu. Hakuna point yeyote ya maana ya kujadili
 
Uislam sio taasisi tujenge vyuo wakati Tanzania Kuna vyuo vya kutosha dunia nzima Kuna vyuo? Hii ni dini sio taasisi za biashara kama nyie mfanyavyo sisi wajibu wetu ninkutimiza nguzo tano na kutafuta elimu popote pale
 
Hapo kwa baba yangu kuwa ubongo box hewa hujakosea ni ukweli kabisa. Lakini haifuti ukweli na wewe ni kama baba yangu..
Happy new year mkuu
Kabisa kabisa hata wewe sperm yake ubongo box hewa. Inaonekana umerithi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…