Baada ya kulitafakari sakata la DP World, nimegundua kuwa waislam walikuwa sahihi

Huwajui waislamu wafia dini ww.hata wakiambiwa tanzqnia iwe chini ya mfalme wa uarabuni watafurahi muislamu mpare anaamini mpalestina muislamu ni ndugu yake kuliko mkristo mpare.ila wapalestina hawataki hata kuwaona mijitu miyeusi kule inaliwa jicho sana wanawaona wanyama
 
Ile MoU ya serikali na kanisa inayokataza serikali kujenga hospitali ktk maeneo yenye hospitali za kanisa ni uhuni mwingine wa RC kama kubariki mashoga. Hili jambo ni time bomb halitokubalika milele!
Hzo ni propaganda tu dhidi ya kanisa katoliki na hazisaidii chochote,serikali inapaswa kujitambua vilivyo ili ipeleke huduma kwa watanzania na sio kusingizia dini.kwa huduma za kanisa kwa ujumla wake wengi wamenufaika akiweko kikwete na wengine wengi tu wakati huo serikali ilikuwa haina shule zake kwa mfano,Ufisadi ushughulikiwe serkalini ili fedha za UMMA zikafanye kazi inayokusudiwa maana mchawi kwa sasa ni Ufisadi uliokita mizizi kwenye wizara nyingi za serikali,Tusisingizie kanisa katoliki.
 
Uislam sio taasisi tujenge vyuo wakati Tanzania Kuna vyuo vya kutosha dunia nzima Kuna vyuo? Hii ni dini sio taasisi za biashara kama nyie mfanyavyo sisi wajibu wetu ninkutimiza nguzo tano na kutafuta elimu popote pale
Sasa msilie lie Basi !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…