Baada ya kumaliza chuo ulifanya biashara gani ili kujikimu na maisha kabla ya ajira?

Kwa vijana wa familia za kawaida,.maisha after chuo huwa magumu balaa.

Mi nilihudumia kwenye catering company ya mama wa mshkaji wangu mmoja, nikarekodi nyimbo niwe msanii, nikasaidia mafundi ujenzi na mwisho nikapanga pair moja ya viatu pale double road (Moshi) nikitumaini kupata mteja (na hakutokea 😁) Kisha, nikapata ajira.

Great run for 1 year.
 
Pair moja mkuu? U can't be serious mkuu😄😄
 
Back
Top Bottom