Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Kuuza ice cream zile za mia mia pamoja na barafu, kipindi hiki cha joto kali nilikuwa napata wateja mpaka wananizidia. Nilienda mpaka kununua recipe mtandaoni ya kuboresha ice cream zangu ziwe na rojo vizuri😃😃Habari wakuu, mimi mpaka Sasa nafanya biashara ya dagaa japo msoto bado mkali ila maisha yanaenda kibishi.