Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 5,962
- 17,648
kama jamaa yuko serious kweli,atakuwa amekupush kinoma.Jamaa anataka kunitoa kwenye ujobless Mungu atam'bariki sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama jamaa yuko serious kweli,atakuwa amekupush kinoma.Jamaa anataka kunitoa kwenye ujobless Mungu atam'bariki sana.
Hapo kuna mwamba ni Kunyonywa tu, kumbe anaonekana mkombozi..!!!🤣🤣🤣🤣
Sanaakama jamaa yuko serious kweli,atakuwa amekupush kinoma.
Njooni wanaume mnaosema mnapendwa kumbe mnachukuliwa ni wakombozi..!!Acha nimpee tu huyu msukuma kwakweliiiiiiii amenitoa mbali kule🤣🤣🤣
🤸🤸aya bhuana mkuu ngoja sisi tupambane huku na kazi za watuNabinuka kwa Mume wangu lakini...si kalipa mahari
Kabla ya kufikiria ajira hebu convert mshahara wa kozi yako kwenda kwenye USD kwanza .Habari wakuu, mimi mpaka Sasa nafanya biashara ya dagaa japo msoto bado mkali ila maisha yanaenda kibishi.
130usdKabla ya kufikiria ajira hebu convert mshahara wa kozi yako kwenda kwenye USD kwanza .
Kipo posta ( DMI) mkuu ukimaliza nitafute nikuconnect bandarin
Miezi 3Miaka mingapi coures
Habar Kiongozi, naomba namba yako.Yaani nataka kukushauri kitu maana mimi nafanya kazi kwa certificate na passport tuu