Kuuza ice cream zile za mia mia pamoja na barafu, kipindi hiki cha joto kali nilikuwa napata wateja mpaka wananizidia. Nilienda mpaka kununua recipe mtandaoni ya kuboresha ice cream zangu ziwe na rojo vizuri😃😃Habari wakuu, mimi mpaka Sasa nafanya biashara ya dagaa japo msoto bado mkali ila maisha yanaenda kibishi.
Ninakoelekea namimi soon nitaanza kuuza ice cream mashuleni.Kuuza ice cream zile za mia mia pamoja na barafu, kipindi hiki cha joto kali nilikuwa napata wateja mpaka wananizidia. Nilienda mpaka kununua recipe mtandaoni ya kuboresha ice cream zangu ziwe na rojo vizuri😃😃
Mi mwenyewe joblessraraa reree unlike tuu connection hutoi.
🤣🤣🤣So uliamua kukivaa mwenyewe sio.
Kaza buti, jifunge mkanda, plan strategically and never ever overspend. Bishara inaweza kukutoa ukasahau kabisa mambo ya kutafuta ajira, there will always be a lot of ups and downs lakini mapambano ya utafutaji huwa yako hivyo. Remember obstacles and challenges will make you stronger and by the end of the day you will prevail. 💪 💪.Habari wakuu, mimi mpaka Sasa nafanya biashara ya dagaa japo msoto bado mkali ila maisha yanaenda kibishi.
kasongo thread..🤣Ambao hatukufika chuo tunacomment wapi!??🤔
Asante kwa kunitia moyo mkuu. Ila nishapambana sana biashara ambazo nishafanya sijaona hata faida zaidi ya loss, ila bado nakomaa. Barikiwa sana.Kaza buti, jifunge mkanda, plan strategically and never ever overspend. Bishara inaweza kukutoa ukasahau kabisa mambo ya kutafuta ajira, there will always be a lot of ups and downs lakini mapambano ya utafutaji huwa yako hivyo. Remember obstacles and challenges will make you stronger and by the end of the day you will prevail. 💪 💪.
Muhimu kufanya ziwe nzuri, urojo wa kitosha, bishara itaenda vizuri tuuNinakoelekea namimi soon nitaanza kuuza ice cream mashuleni.
Keep it up mkuu Mungu akupe hitaji la moyo ipende biashara yakoHabari wakuu, mimi mpaka Sasa nafanya biashara ya dagaa japo msoto bado mkali ila maisha yanaenda kibishi.
Barikiwa.Keep it up mkuu Mungu akupe hitaji la moyo ipende biashara yako
Hii biashara itakua iko poa nipo interested kuifanya siku moja.Miaka minne mtaani nilikuwa na point viatu karume naenda kuuza kwenye fremu yangu kawe.
Kipo posta ( DMI) mkuu ukimaliza nitafute nikuconnect bandariniChuo kipo wapi mkuu
Sawa mkuu. Nisome kozi gani?Kipo posta ( DMI) mkuu ukimaliza nitafute nikuconnect bandarini
Si zitakuwepo kozi tofauti tofauti mkuu??Kipo posta ( DMI) mkuu ukimaliza nitafute nikuconnect bandarini
Mkuu hiyo ni short course inaitwa mandatorySi zitakuwepo kozi tofauti tofauti mkuu??
Asante mkuu, nitafatilia kuanzia Sasa.Mkuu hiyo ni short course inaitwa mandatory
safi sana bwana DP worldKipo posta ( DMI) mkuu ukimaliza nitafute nikuconnect bandarini
Jamaa anataka kunitoa kwenye ujobless Mungu atam'bariki sana.safi sana bwana DP world