#COVID19 Baada ya kumaliza Maombolezo ya kumuaga mpendwa wetu Magufuli, tujiandae na maambukizi mapya ya COVID-19

Kuchasoni Kuchawangu

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
620
Reaction score
370
Kwa kile nilichokishuhudia uwanja wa uhuru jana na leo, na kile kinachokwenda kufanyika Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Chato cha watu kutokuchukua tahadhali ya ugonjwa wa Corona. Tutarajie nchi yetu kukumbwa na maambukizi mapya ya COVID-19.


Your browser is not able to display this video.


Ninasihi sana viongozi wetu tuchukue tahadhali kabla taifa halijaingia kwenye hatari huko mbeleni. Corona ipo na haina utani kabisa.
 
Yatatisha sana,nijambo la hatari sana
 
Angalau dar sasa ipo huru, harudi tena, baada ya tarehe 26 nchi nzima tufanye ibada za kumshukuru Mungu kwa matendo yake makuu
 
Hakika upo sahihi.
Ila na watu nao wameshindwa kujua kuwa kuna corona?

Tena wengine ni watu wazima kabisa unaenda kusukumana hujavaa barakoa!
Mkuu unajua watu wengi wameaminishwa kuwa hakuna Corona Tanzania, na hakuna anayekufa kwa Corona. Wanaenda kwa imani hiyohiyo mpaka leo. Hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…