Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,489
- 4,253
Aende Tanganyika Packers kwa Mwamposa, aone nyomi la watu.watu wanajazana kwenye mabasi na kariakoo hamsemi, kwenye kuaga mwili ndio mnakuja na ngonjera. kwanza si naskia watu walikuwa kidogo sana.