#COVID19 Baada ya kumaliza Maombolezo ya kumuaga mpendwa wetu Magufuli, tujiandae na maambukizi mapya ya COVID-19

#COVID19 Baada ya kumaliza Maombolezo ya kumuaga mpendwa wetu Magufuli, tujiandae na maambukizi mapya ya COVID-19

Tujitahidi Siku nyingine kufanyia uwanja wa wazi
 
Unadhani atatiwa kwenye sanda huyo? Kuna ile mifuko ya kuzuia virusi visisambae na watu maalum wa kuzika maiti aina hiyo...
Mwache afanye dhihaka na ujuba wa kisiasa tutamsikia...
Ahaa wapi,imebuma iyo.
Tafuta nyingine.
 
Mi na familia yangu si wajinga kama nyie wapuuzi miloenda jazana uwanjani bila tahadhari
Sawa,kwenye ao 1000 utakufa wewe na familia yako mkiwemo,usijali maombi yako yatapokelewa.
 
Unadhani atatiwa kwenye sanda huyo? Kuna ile mifuko ya kuzuia virusi visisambae na watu maalum wa kuzika maiti aina hiyo...
Mwache afanye dhihaka na ujuba wa kisiasa tutamsikia...
Inamana ww Babu zako, Bibi zako walikufa kwa Corona au bado wapo hai? Hakuna kiumbe Kitachobaki Duniani... Usipokufa kwa Corona utakufa kwa Ajali, Usingizini, Malaria, Ukimwi, Cancer etc.
 
Wacha wafe wote shida iko wapi
Kwa kile nilichokishuhudia uwanja wa uhuru jana na leo, na kile kinachokwenda kufanyika Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Chato cha watu kutokuchukua tahadhali ya ugonjwa wa Corona. Tutarajie nchi yetu kukumbwa na maambukizi mapya ya COVID-19.

View attachment 1731117

Ninasihi sana viongozi wetu tuchukue tahadhali kabla taifa halijaingia kwenye hatari huko mbeleni. Corona ipo na haina utani kabisa.
 
Tanzania hakuna COVID 19.
Ashukuriwe Mungu anaamua kuwafyeka wale waliozembea kulinda uhai wa watu wake .
 
Wakuu shida ya corona sio kupata na kupona tatizo kuu lipo hapa
Nchini wengi wetu ni vijana huku wazee wakiwa ni asilimia kidogo tu......hii inasababisha vifo vitokanavyo na corona kuwa vichache au visiwepo kabisa.....lakini kwa namna hawa vimelea ama viruses wanavyojizalisha na kutoka kwa mtu mmoja hadi kwa mwingine,yanatokea mabadiliko (mutation) ambayo mara nyingi yanavifanya kuwa na uwezo mkubwa zaidi .unaweza ukawa umesikia juu ya corona ya uingereza,ama ya afrika ya kusini (variants).hivi vyote ni kwasababu tumeruhusu hawa virusi wazunguke kwa watu wengi.sasa hizi variant ni ngumu zaidi jupambana nazo....hata chanjo ikija itakuta variant mpya imejitokeza ........
 
Chonde chonde watanzania wenzangu tusione aibu kuvaa barakoa kwenye misongamano kama hizihizi tunajiweka kwenye hatari ya kusambaza maambukizi ya corona virus diseases kwa kasi kubwa sana kwa nini hatuoni hili?
Ni kweli kabisa.lakini angeanza mh.rais samia.angalau watu wataanza kujikinga.
 
Kwa kile nilichokishuhudia uwanja wa uhuru jana na leo, na kile kinachokwenda kufanyika Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Chato cha watu kutokuchukua tahadhali ya ugonjwa wa Corona. Tutarajie nchi yetu kukumbwa na maambukizi mapya ya COVID-19.

View attachment 1731117

Ninasihi sana viongozi wetu tuchukue tahadhali kabla taifa halijaingia kwenye hatari huko mbeleni. Corona ipo na haina utani kabisa.
Kwa hiyo wakijazana huko kwenye mechi za simba shwari wanaonyesha uzalendo ila wakijazana kwenye kuaga tujiandae na maangamizi ya corona !!! Corona ipo lakini ukiruhusu hofu itawale majanga yake ndio usipime. Hapo watu wataumwa lakini kama hakutakuwa na hofu wataishia kumeza dawa za mafua na kujifukiza maisha yanaendelea. lakini anza sasa zile za kutoa takwimu sijui leo wameongezeka wagonjwa buku kesho buku tatu etc huko nyumbani hata kama ulikuwa unaugua mafua ya kawaida tu presha na magonjwa mengine yataibuka.
 
Back
Top Bottom