Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well said, ukweli ni asili mia ndogo ya watu wanao kufa kutokana na ugonjwa wa kovid - takwimu zinaonyesha kwamba asilimia 98.5% ya watu walio ambukizwa kovid wanapona, wanao kufa mara nyingi ni wale wenye matatizo ya kiafya waliyo kuwa nayo kwa siku nyingi.Labda wewe ila mtaani shughuli zinaendelea kila siku na hakuna vifo wala maiti kuzagaa mitaani,
Iyo corona mnayoipamba kwa ngonjera kila siku utazani mmelipwa kuihubiri Mtaani hatuioni, kawambie na waliokutuma kwamba huku maisha yanaendelea kwa furaha.
% kubwa ya watanzania wote wanatumia daladala kama sehemu ya usafiri, wana banana humo kama walivyokuwa uwanjani.
Kwa hesabu ndogo tu, Daladala zinazobeba watu tena wakiwa wamebanana Tz kwa siku moja ni Mara 5 ya hao walokwepo hapo uwanjani tena wakiwa wanatoka maeneo tofauti tofauti, ayo maafa unayohubiri yangekuwa yameshaonekana kitambo tu
Ombi langu kwa watu kama wewe, Acheni kutisha watu kwa mihemko yenu.
👊👊Hii kitu tunaifanyia sana masihara sijui mwisho wake utakuwa vipi.
Nzi wa kijani watapungua sanaKwa kile nilichokishuhudia uwanja wa uhuru jana na leo, na kile kinachokwenda kufanyika Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Chato cha watu kutokuchukua tahadhali ya ugonjwa wa Corona. Tutarajie nchi yetu kukumbwa na maambukizi mapya ya COVID-19.
View attachment 1731117
Ninasihi sana viongozi wetu tuchukue tahadhali kabla taifa halijaingia kwenye hatari huko mbeleni. Corona ipo na haina utani kabisa.
[emoji23][emoji52][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ile awamu ya kwanza ya kovid watu walikuwa serious sana na tahadhari baada ya JPM "kuondoa corona tz" ,tukabetweka sana na hii awamu ya pili tunaichukulia poa wakati ndi hatari kuliko hata ile ya mwanzo.Viongozi waweke mkazo kwenye kujikinga hasa kwenye mikusanyiko mikubwa Kama hii.
Ndipo upeo wako ulipokomea? Yale mabango ya tahadhari ya corona yaliyowekwa na serikali kila kona wadhani ni mapambo? Akili zenu mwazijua wenyewe!!Inamana ww Babu zako, Bibi zako walikufa kwa Corona au bado wapo hai? Hakuna kiumbe Kitachobaki Duniani... Usipokufa kwa Corona utakufa kwa Ajali, Usingizini, Malaria, Ukimwi, Cancer etc.
Kwa ujazo huu ilitakiwa zoezi lifanyike usiku na mchana kama wakati wa kumuaga Hayati baba wa Taifa NyerereKwa kile nilichokishuhudia uwanja wa uhuru jana na leo, na kile kinachokwenda kufanyika Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Chato cha watu kutokuchukua tahadhali ya ugonjwa wa Corona. Tutarajie nchi yetu kukumbwa na maambukizi mapya ya COVID-19.
View attachment 1731117
Ninasihi sana viongozi wetu tuchukue tahadhali kabla taifa halijaingia kwenye hatari huko mbeleni. Corona ipo na haina utani kabisa.
Nimecheka mno dah🙌
Haha sawa [emoji119]Nimecheka mno dah[emoji119]
Wewe hujui tu. Wale waliokuletea Injili walikuletea na Hospitali.Usiiamini sana barakoa, usiiamini sana chanjo ila jali afya yako kwa kuhakikisha Kinga yako iko vizuri na mwamini Mungu.
Nakuunga mkono kwa asilimia 100.wanacheza na huu ugonjwa.wamejazana kila sehemu kana kwamba tunaishi mbinguni na sio duniani.Nchi nyingi hata za jirani zimeanza kutususa na kututenga.we nenda Nairobi tu,wakikujua Mtanzania wanakukimbia.Mi na familia yangu si wajinga kama nyie wapuuzi miloenda jazana uwanjani bila tahadhari
Tuko mwezi wa saba ujueNililisema hili kabla, sasa limetimia.
Kumbe ilikuwaje?Tuko mwezi wa saba ujue