Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi maana 'Mdharau mwiba mguu huota tende'.Refer case ya Iran yale maandamano na mikusanyiko baada ya kifo cha kamanda Soleimani.....Watu walipata korona balaa iran ikawa kitovu cha korona duniani baada ya China Italy na wao iran wakawa nafasi ya 3
Siwatishi ila ndo ukweli
Huenda kukawa na maambukizi makubwa sana ya virusi vya Corona
Nakumbuka inasemekana iran ilifikisha hadi wagonjwa milioni 25 wa covid sijui ni kweli au tetesi tu ila hali itakua mbaya sana week kadhaa zijazo tuanze kujiandaa kabisa kisaikolojia.....
Kaa kwa kutulia bro! Kwani si umeshajikinga we na watoto wako inatosha au??????Kwa kile nilichokishuhudia uwanja wa uhuru jana na leo, na kile kinachokwenda kufanyika Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Chato cha watu kutokuchukua tahadhali ya ugonjwa wa Corona. Tutarajie nchi yetu kukumbwa na maambukizi mapya ya COVID-19.
View attachment 1731117
Ninasihi sana viongozi wetu tuchukue tahadhali kabla taifa halijaingia kwenye hatari huko mbeleni. Corona ipo na haina utani kabisa.
Hakika[emoji122][emoji122]We mjinga kweli, kila siku watu wanajazana Kariakoo,Ubungo na mitaa mingine, uwanja wa taifa kucheki mipira, makanisani, misikitini,kwenye matamasha ya mziki, bar na night clubs hatujashuhudia hayo maambukizi mapya, ila wakikusanyika kumuaga JPM ndo tunapata maambukizi mapya et?
Tatizo lenu wapinzani wa bongo hamueleweki mnasimamia nini haswa wasipojazana kumuaga mtasema alikua hapendwi, wakijazana mnasema corona . Upinzani wa bongo sidhani kama itatokea ubebe nchi hata ubunge unaptaga kwa upepo wa siasa tu mfno. Upepo wa Lowasa.
Fvck you pinga pinga.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
😳😳😳Hakika[emoji122][emoji122]
Duuh wamekubania kweli asee[emoji848]Mwenye picha na video za hayati Mh. JPM akiwa kwenye casket anipe hata PM wadau. Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasikitisha sana ,waTZ tunaichukulia poa sana UVIKO.Kwa kile nilichokishuhudia uwanja wa uhuru jana na leo, na kile kinachokwenda kufanyika Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Chato cha watu kutokuchukua tahadhali ya ugonjwa wa Corona. Tutarajie nchi yetu kukumbwa na maambukizi mapya ya COVID-19.
View attachment 1731117
Ninasihi sana viongozi wetu tuchukue tahadhali kabla taifa halijaingia kwenye hatari huko mbeleni. Corona ipo na haina utani kabisa.
Viongozi waweke mkazo kwenye kujikinga hasa kwenye mikusanyiko mikubwa Kama hii.Inasikitisha sana ,waTZ tunaichukulia poa sana UVIKO.
Tunalazimishwa kuishi katika dilemma 'mkwamo'? wa "the slippery slope fallacy" kwa:
1. Kukataa ukweli kwamba covid-19 ipo duniani na bongoland.
Tumo ktk mteremko mkali kwenye gari lisilo na breki!
2. Tumepanda gari hilo kwa kupuuza maelekezo ya WHO kuhusu kupima, kutoa data, kujikinga, kuwapa watu chanjo.
Sasa inatubidi tutetee na kulinda msimamo (falsafa) wetu kwa gharama kubwa!
[/QUHatari sana aiseeTunalazimishwa kuishi katika dilemma 'mkwamo'? wa "the slippery slope fallacy" kwa:
1. Kukataa ukweli kwamba covid-19 ipo duniani na bongoland.
Tumo ktk mteremko mkali kwenye gari lisilo na breki!
2. Tumepanda gari hilo kwa kupuuza maelekezo ya WHO kuhusu kupima, kutoa data, kujikinga, kuwapa watu chanjo.
Sasa inatubidi tutetee na kulinda msimamo (falsafa) wetu kwa gharama kubwa!
Irony doesn't suit youBeberu weeee !! Tanzania hakuna corona
Mikusanyiko kama hii ipo tangu mwaka janaKwa kile nilichokishuhudia uwanja wa uhuru jana na leo, na kile kinachokwenda kufanyika Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Chato cha watu kutokuchukua tahadhali ya ugonjwa wa Corona. Tutarajie nchi yetu kukumbwa na maambukizi mapya ya COVID-19.
View attachment 1731117
Ninasihi sana viongozi wetu tuchukue tahadhali kabla taifa halijaingia kwenye hatari huko mbeleni. Corona ipo na haina utani kabisa.
.Kwa kile nilichokishuhudia uwanja wa uhuru jana na leo, na kile kinachokwenda kufanyika Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Chato cha watu kutokuchukua tahadhali ya ugonjwa wa Corona. Tutarajie nchi yetu kukumbwa na maambukizi mapya ya COVID-19.
View attachment 1731117
Ninasihi sana viongozi wetu tuchukue tahadhali kabla taifa halijaingia kwenye hatari huko mbeleni. Corona ipo na haina utani kabisa.
Marehemu alituaminisha hivyoHii kitu tunaifanyia sana masihara sijui mwisho wake utakuwa vipi.
Hatuombei vifo, maradhi na Mungu atupe wepesi Insha Allah. Ila kwa kuwa tunafanya makusudi, basi tutarajie majanga makubwa ya COVID 19 in three to four weeksKwa kile nilichokishuhudia uwanja wa uhuru jana na leo, na kile kinachokwenda kufanyika Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Chato cha watu kutokuchukua tahadhali ya ugonjwa wa Corona. Tutarajie nchi yetu kukumbwa na maambukizi mapya ya COVID-19.
View attachment 1731117
Ninasihi sana viongozi wetu tuchukue tahadhali kabla taifa halijaingia kwenye hatari huko mbeleni. Corona ipo na haina utani kabisa.