Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
SinaUna uhakika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SinaUna uhakika?
[emoji846][emoji846][emoji846][emoji846][emoji846]they said that. and here we are with sadness
Sawa kila mchuma majanga daima ula na wenzakeMkuu unajua watu wengi wameaminishwa kuwa hakuna Corona Tanzania, na hakuna anayekufa kwa Corona. Wanaenda kwa imani hiyohiyo mpaka leo. Hatari sana.
Barakoa tu. Distance hand wash = 0Mungu atatulinda...
Maana ukitazama kwa makadirio ni asilimia labda 5 tu ya umati wote uwanjani ndio waliojali na kuvaa barakoa, sasa sijui kwa wale waliojipanga njiani n.k
Tafadhali msifute uzi huu.
Kwa kile nilichokishuhudia uwanja wa uhuru jana na leo, na kile kinachokwenda kufanyika Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Chato cha watu kutokuchukua tahadhali ya ugonjwa wa Corona. Tutarajie nchi yetu kukumbwa na maambukizi mapya ya Covid-19.
Ninasihi sana viongozi wetu tuchukue tahadhali kabla taifa halijaingia kwenye hatari huko mbeleni. Corona ipo na haina utani kabisa.
Mkuu siombei mabaya hapoJifunze kuomba mema!
😳😳😳Labda wewe ila mtaani shughuli zinaendelea kila siku na hakuna vifo wala maiti kuzagaa mitaani,
Iyo corona mnayoipamba kwa ngonjera kila siku utazani mmelipwa kuihubiri Mtaani hatuioni, kawambie na waliokutuma kwamba huku maisha yanaendelea kwa furaha.
% kubwa ya watanzania wote wanatumia daladala kama sehemu ya usafiri, wana banana humo kama walivyokuwa uwanjani.
Kwa hesabu ndogo tu, Daladala zinazobeba watu tena wakiwa wamebanana Tz kwa siku moja ni Mara 5 ya hao walokwepo hapo uwanjani tena wakiwa wanatoka maeneo tofauti tofauti, ayo maafa unayohubiri yangekuwa yameshaonekana kitambo tu
Ombi langu kwa watu kama wewe, Acheni kutisha watu kwa mihemko yenu.
Maafa yazidi tena zaidi ya hili tunalopitia sasa (kama ni kweli) labda kama wanataka bunge zima likatike.Maafa yatakapozidi labda viongozi wetu wataliona hilo
Unaweza kuwa na hoja lakini umeiwakilisha kwa hisia potofu. Kila mtu anawajibika kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi kwa kuzingatia ushauri unaotolewa mara kwa mara.Tafadhali msifute uzi huu.
Kwa kile nilichokishuhudia uwanja wa uhuru jana na leo, na kile kinachokwenda kufanyika Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Chato cha watu kutokuchukua tahadhali ya ugonjwa wa Corona. Tutarajie nchi yetu kukumbwa na maambukizi mapya ya Covid-19.
Ninasihi sana viongozi wetu tuchukue tahadhali kabla taifa halijaingia kwenye hatari huko mbeleni. Corona ipo na haina utani kabisa.
Wewe ni mmoja wa wanaomba yawepo maafa ili yatimie. Mtu mzims hovyoKwa mkusanyiko wa jana na leo nakuhakikishia huo mlipuko baada ya siku 14 utasikia
Hivi wewe bado haijakupitia?Wewe ni mmoja wa wanaomba yawepo maafa ili yatimie. Mtu mzims hovyo
Utateseka sana.Hivi wewe bado haijakupitia?
Mnaendelea kukatika kwa ujinga wenu na badoUtateseka sana.
Kama una shehena ya barakoa zako unataka uuze basi imekula kwako bwashee,kawavalishe wafipa wenzio.
Hivi wanaotangaza kuugua corona na inaowaondoa haitoshi kuwa picha?Haya maneno wewe sio wa kwanza asee.
Mnatamani sana lakini Muumba anatulinda kwakweli.
Rejea mikusanyiko ya nyuma kwenye soka,kampeni n,k