Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Hifadhini sana huu uzi,shikeni sana haya maneno yangu,kaeni na hili andiko katika kumbukumbu zenu,kaeni na jiandaeni kwa jambo hilo na tambueni ya kuwa Baada ya uchaguzi wa CHADEMA kumalizika ngazi ya Taifa hapo Mapema Mwakani .mtashuhudia Lissu akihama na kuondoka CHADEMA na kutoa tuhuma mbalimbali za kuwachafua viongozi mbalimbali wa CHADEMA kuanzia juu hadi chini.
Atamshambulia kila mtu na kila mtu atafikiwa na matope ambayo lissu atakuwa akiyarusha kwa hasira na jazba, na wakati mwingine pasipo ushahidi wa aina yoyote ile.atafanya hivi kwa kusukumwa na watu walio nyuma yake na waliomdanganya kugombea nafasi ambayo hana uwezo nayo na hawezi kuchaguliwa kushika nafasi hiyo.
Dalili zote zinaonyesha ya kuwa lissu ni mwenye uchu,uroho na tamaa kubwa sana ya madaraka na hivyo hatakubali abakie bila cheo cha aina yeyote ile cha kumuwezeha yeye kutolea matamko yake ya kujinufaisha yeye Binafsi.
Lakini pia dalili zote zinaonyesha lissu kukosa marafiki na watu watakaotaka kuwa naye karibu wala kushirikiana naye kwa jambo lolote lile ndani ya CHADEMA.jambo litakalompatia upweke na kujihisi kutengwa na hivyo kuamua kuondoka na kujiondoa Mwenyewe tu.
Lakini pia inaonyesha pia Lissu amejipanga kuwachafua viongozi mbalimbali kwa kurusha tuhuma zisizo na ushahidi kipindi hiki chote Kabla ya siku ya uchaguzi wenyewe.jambo litakalopelekea kupoteza imani na kuaminika na yeyote yule ndani ya chama na kujenga Taswira ya Kirusi ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani hapa Nchini.
Kwa sasa jiandaeni kuona na kusikia tuhuma na kuwachafua viongozi wenzake kwa kadri awezavyo na kwa yeyote yule atakayeona hamuungi mkono na hayupo upande wake.mtaona akishiriki kwenye mahojiano na vyombo mbalimbali vya habari na kutoa hadithi za uongo uongo na tuhuma za kizushi zushi tu. Kwa sasa heshima yote aliyojijengea ndani ya CHADEMA kwa muda mrefu imeingia mchanga na hatakaa aaminike tena ndani ya CHADEMA na hata nje ya CHADEMA.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.