Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Sasa hivi mimi ndiye nalipa kodi ya nyumba.

Sasa hivi??? Sio siku zote sio. Maisha yanachangamoto zake kama baba unaweza kuset mipango yako kama binadamu zikayumba kwanini mke usishike kwa muda mme alipoyumba?

Wanawake huwa mnatulaumu kuendelea kushikilia ujadi na umfumo dume, ajabu ni kuwa huwa mnausapoti saana mfumo dume kuliko sisi tufanyavyo.. ukizingatia kauli za Mwanaharakati mkubwa wa wanawake nchini.

kuna kukosa, kuna kufeli kwa mipango. Biashara zangu zikifeli kwa miezi sita kama unamshahara hauwezi kucover penye mapungufu?

Halafu kwenye ndoa hii kauli ya umimi inatoka wapi. Kwenye ndoa hakuna mimi napeleka watoto shule, mimi nalisha familia..likifanyika ni la familia.
 
Wanawake wapumbavu sana mkiambiwa mkae tu nyumbani hamtaki mnataka na nyinyi muwe watafutaji, mkizipata kidogo mnaleta nyodo, mae sana. Ngoja wife anipikie na kunifulia tu, ngoja nitafute mwenyewe mapene
 
Na dj nelly inasemekana pia alikua anamtia mambata nadhan uyu binti ni tatizo sana alaf ndio mshaur wa dada zetu bomboclat
 
Mimi kusema mwanamke.asipigwe hilo tutawaonea wanaume huwezi jua alikua anaongea nini au ni dharau gani anazomuonyesha. Mwanaume yamemfika shingoni ndo maana akampa kipigo acha apigike. Kweli sisi wanawake jamani sasa ndo nini kuongea public vitu hivyo?? Wanawake wa dizaini hii wanafanya tusiaminike wengine wenye akili zetu kwa waume zetu.
 
Huyu mwanamke hafai hata kuitwa mpenzi wa fulani, huko kuwa mke ni kumpa hadhi asiyostahiki.


Hivi ndo alivyofundishwa kutoa siri za ndani akiwa anaandaliwa mke?
 
Wanawake ambao awako kwenye ndoa uwa ni wakosoaji wa kiwango cha ujinga

Ujinga ni nini?
Ujinga ni pale unajifanya mkosoaji kwenye ndoa za watu huku wewe mwenyewe hata barua ya posa unaiona kwenye movie za kikorea
 
Huyo Joyce Kiria ni zaidi ya Mmachame kwa Ukatili na Kiburi.
 
Yaani hanaga akili huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…