Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Lakini kwa nionavyo,ameumizwa kihisia.Labda attention Hiyo nyingine Sidhani kama ataipata.
Ingawa njia alotumia ni mbaya.
Sasa hapa atajizidishia aibu.Mtanzania hanaga huruma na mtu asiyemhusu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini kwa nionavyo,ameumizwa kihisia.Labda attention Hiyo nyingine Sidhani kama ataipata.
Ni kweli na ukingazita wakati Huu Gris Hakuna kila mtu anapambana na Hali yakeLakini kwa nionavyo,ameumizwa kihisia.
Ingawa njia alotumia ni mbaya.
Sasa hapa atajizidishia aibu.Mtanzania hanaga huruma na mtu asiyemhusu.
Anataka sympath na attention.
HahahahaNaona wanawake Live imekuwa live kweli kweli.
WonderfulAma kweli mganga hajigangi....kumbe mwanaharakati na mtetezi wa wanawake anapigwa na mumewe?
Kabisa mkuunature can't lie.we aren't going out of our manhood.
One said view...it's a bit hard to come up with a reasonable judgement. Let's hear something from Mr Kileo.Mwanamme unasaidiwa majukumu yote na mwanamke na bado unamdunda?
Ni marioo kwasababu majimama ya Limumba hayana wa kuyagegeda baada ya wale buku saba wengi kuwa misosi na wengine ndo kama kina Lemutuz....Acheni makamanda waendelee kuyaondolea stress!Makamanda wengi ni marioo sijui kwanini
Well said madame Beef Lasagna...!Mwanaume habadilishwi kwa malalamiko ya mitandaon yeye Kama anaona Maisha yameshabadilika angeomba talaka baada ya hapo yeye Kama mwanaharakati angetoa Hiyo video ya blah blah zake kuwashaur wanawake wasikae Kwenye ndoa za mateso wafanye maamuzi magumu .
Hivi kila mwanamke akiaza kujirecord nakutupia matatizo yake na mume wake kwenye mitandao si patakuwa hapatoshi.
Si kwa kujiliza vile Joyce[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwakweli.
Ana shule ndogo sana....kwahiyo ubongo wake ni empty- minded, full kuropokaa tuuYule kwa kumuangalia na kusikiliza maongezi yake, utabaini kuwa yule ni Mshenzi wa Tabia!!!
Sana....kama unalimiliki limariooo, hiyo mwanamke ni aibu yako na siri yako!Tena sana
Aisee....wangapi unawajua?Makamanda wengi ni marioo sijui kwanini