mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Nauliza tu sista, hivi wanaume wa hivo mnawapendeaga nini??Mkuu wewe ndio K nini!! Pole sana, pambana na hali mkuu. Kidonda ulikilea mwenyewe jitahidi ukitibu.
Ooh nimekumbuka, wenyewe mnasemaga wako romantic, na mnapenda hiyo kitu, teh!!