Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Mkuu wewe ndio K nini!! Pole sana, pambana na hali mkuu. Kidonda ulikilea mwenyewe jitahidi ukitibu.
Nauliza tu sista, hivi wanaume wa hivo mnawapendeaga nini??

Ooh nimekumbuka, wenyewe mnasemaga wako romantic, na mnapenda hiyo kitu, teh!!
 
Yani sikujua kuwa huyu dada ni amnazo to this extent

Watu wanaingia kwenye ndoa na akili za mgando,hawajui kuwa kuna seasons, kuna ups and downs, watu wanawaza karibu na si mbali

Huwa nakereka na wanaume wanaowapiga wake zao lakini kwa huyu Joyce nahisi hata anatakiwa nyoongeza ya kichapo tena

Mbona asipigwe siku zote pesa zilivyokuwa za kumwaga, sasa hivi zimepungua ndio anadundwa,Kama sio kaaza kumdharau kaka Wa watu, anataka kuishi maisha ya Juu asiyoyaweza, mi mwenyewe nilijua hule mjumba wamejenga kumbe Wa kupanga, ili Ku show off tu

Si anapigania haki sawa??? Sasa mdomo Juu kuwa analipa kodi ya nyumba yeye, yani kajidhalilisha haswa, huyo mheshimiwa akiendelea na huyu mwanamkwe, kweli atakuwa mwanaume Wa Shoka tehe tehe tehe
 
Baada ya Kupost Video yake Kwenye mtandao wa Kijamii Instagram , kulalamika anapigwa na mumewe wakati yeye Ndio anasimamia kila kitu ndani ya nyumba mpaka kodi ya nyumba wanayoishi analipa yeye.

Wadau mbalimbali waliotoa mtazamo wao kwa alichokifanya Ila mwanaharakati huyu wa wanawake alisema Hataki ushaur wa namna yoyote ile.

Nb
**Kama hawa Ndio mfano wa aina ya wanaharakati tulionao wanawake, Basi wanawake tunasafari ndefu Sana.

Screenshot_2018-01-21-14-31-29.png
 
Mie naona anajifariji tu hapo ila ujinga aliusababisha mwenyewe tangia mwanzo kwa kujipachika majukumu ambayo kwa upande mwingine wangeweza kuwa wanasaidiana.

Pia nampa pole sana sababu kama ni kweli analipa hadi kodi ya nyumba ni hela nyingi sana ambayo ameshaipoteza.

Ila wanaume na nyie hebu jifunzeni kusimama kama wanaume basi. Khaaa.
Navojua mwanaume anayejua kusimama kama mwanaume hawezi kuishi na mwanamke kama huyo J. They are not compatible

Hao wanawake much know, activist taipu zao ni hao marioo, wenyewe wanadai wako romantic. Sasa wanapoishiwa fweza za kuwalea marioo ndo hivi kulia lia
 
Beef Lasagna kama sijakuelewa shogangu!
hebu toa ushauri kwanza ulitaka afanyeje
Mwanaume habadilishwi kwa malalamiko ya mitandaon yeye Kama anaona Maisha yameshabadilika angeomba talaka baada ya hapo yeye Kama mwanaharakati angetoa Hiyo video ya blah blah zake kuwashaur wanawake wasikae Kwenye ndoa za mateso wafanye maamuzi magumu .

Hivi kila mwanamke akiaza kujirecord nakutupia matatizo yake na mume wake kwenye mitandao si patakuwa hapatoshi.
 
Kuna watu wana tabia ya kufanya matatizo yao kuwa matatizo ya watu wote bila sababu za maana!

Kwani hana washenga,wazazi au marafiki wa karibu??

Ndoa ndoano.!
Kwa upande mwingine anapitia kipindi kigumu sana.Kuna ndoa au mahusiano mengine yanaweza kukurudisha nyuma sana na kukupa maumivu makali sana!
 
Baada ya Kupost Video yake Kwenye mtandao wa Kijamii Instagram , kulalamika anapigwa na mumewe wakati yeye Ndio anasimamia kila kitu ndani ya nyumba mpaka kodi ya nyumba wanayoishi analipa yeye.

Wadau mbalimbali waliotoa mtazamo wao kwa alichokifanya Ila mwanaharakati huyu wa wanawake alisema Hataki ushaur wa namna yoyote ile.

Nb
**Kama hawa Ndio mfano wa aina ya wanaharakati tulionao wanawake, Basi wanawake tunasafari ndefu Sana.

View attachment 681349
Never argue with a fool huyu dada Ana matatizo ya akili muacheni.....
 
Back
Top Bottom