Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Ukileta usuper star wako kwenye ndoa,lazima ikushinde.
Tunaweza tukaangalia upande wa huyu dada je,upande wa mwanaume kuna nini ndani yake? Mda mwingine wanawake tunapenda kulalamika wakati huo wewe husimami kwenye nafasi yako.unataka na wewe uonyeshe kuwa uko juu ya mwanaume coz unaweza kila kitu
Wanawake tubadilike jamani,tusimame kama mke na mama pia.
 
Hana akili, hana adabu, na hakuwahi kumpenda mumewe alipenda pesa tu za mumewe pengine na umaarufu wa mumewe. Kileo ka upo humu tafadhali njoo nikulee
 
Historia inaonyesha alishindwa ndoa ya kwanza...lets hope she will not drop the ball
 
Kosa kubwa alilolifanya huyu mwanamkelive ni kumdharau mumewe na kumuanika mtandaoni..sidhani kama kuna mtu ambaye hana nyongo..ilikua lazima le kamandaz ampe nakoz ana bahat hajamuaribu reception hahaa
 
Mke hapigigwi ngumi...anapigigwa kwa note za pesa....mama njoo kwangu ufahi maisha... Japo umri umenizidi ila.... Nitavumilia tu...kwan nitakuwa sijanza Mimi.
 
watu wafanye kazi siasa iwe part time
mwisho mtasema cdm iwagawie hela wananchi
 
kama ameyaleta kwny dunia.basi asizuie wanadunia kusema yao.vinginevyo wangetulia nayo mwenyewe
 
Ndg Trump wewe akili zako haziko sawa, una mtindio wa ubongo na u cant think and reason properly.
1. Yeriko hauzi vitabu , anauza kitabu chake alichokitunga. Shida iko wapi? Owk tufanye Yeriko anauza vitabu au analima bamia, kosa liko wapi mtu kufanya kazi halali zinazomuingizia kipato? . Kwahiyo ukiwa kamanda hutakiwa kufanya kazi isipokuwa ulipwe na chama? Hizi ndizo akili za wana Lumumba
2. Kwani kamanda kileo anafanya kazi za chama 24/7/365? Kwani kajiriwa na chama? Kama kaajiriwa na chama mbona hatujasikia akilalamika halipwi? Kama hajaajiriwa na chama kwanini chama kimlipe? Chama kitalipa makamanda wote nchi nzima? Wewe CCM inakulipa sh ngapi?.
3. Kama kuna kamanda anataka kulipwa ahamie ccm huko ndiko wanalipwa, hili alilithibitisha ndg Patrobas Katambi kwamba cdm alikuwa anatumika kama karai hivyo ccm angetumika kama zege ( huko kuna malipo). Mwenye kutaka kwenda aende ila ukitaka maisha mazuri kwenye siasa kuwa na kazi zako za kufanya za kukuingizia malipo, hata mbowe bado ni mjasiriamali na ndiye mwenyekiti.
 
Duh kuna vitu ukisimuliwa huwezi kuamini. Wewe ni mvumilivu sana. Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…