Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Ingekuwa mwingine hapo ungemsikia ooh nishawasiliana na mama Kijo(chakula kwa kipare) bishimba tutampleleka kwenye dawati la haki. Puuumba kabisa huyu. Hizi ndoa kutafuta umaarufu daima huwatokea puani.
Hahaaaaaaaaa mkuu niko kwenye sherehe watu wamenishangaa baaada ya kusoma hii comment yule chizi
 
Kaokoe jahazi feki hilo. Mange yuko marekani wewe ndiye unaijua vema hali ya hao uliowataja. CHADEMA si biashara ni kujitoa mhanga. Si mlitaka kumnunua Kileo kama vipi mnunueni mke wake basi au mumtunze huko Lumumba.
 
Tatizo ni mwanaume, kichwa cha familia unashindwa vipi kusimama katika nafasi yako!!!

Hivi hii ndoa ni ile ya kwa shida na raha?!
Kwa nini mtu usichape lapa kama unaona hafai badala ya kufanya upuuzi kama huu wa kujianika duniani?!, lengo nini haswa, kwamba Walimwengu wamsaidie ama?!..
 
Hivi hii ndoa ni ile ya kwa shida na raha?!
Kwa nini mtu usichape lapa kama unaona hafai badala ya kufanya upuuzi kama huu wa kujianika duniani?!, lengo nini haswa, kwamba Walimwengu wamsaidie ama?!..
ndo ujiulize,
 
Ila kijana kama una nguvu nakushauri upige kazii.. Ukimtegemea mwanamke ndo yana kuwa haya.. Na labda kipigo kimeanza kutolewa baada kishindwa kuvumilia dharau
kweli kabisaa uliyoyasema ktk hii sentensi ya mwisho na huo uhai
 
Ni marioo kwasababu majimama ya Limumba hayana wa kuyagegeda baada ya wale buku saba wengi kuwa misosi na wengine ndo kama kina Lemutuz....Acheni makamanda waendelee kuyaondolea stress!


Sawa marioo
 
Kunaitajika amendment kidogo kwenye mume/mke kwenye shida na raha napendekeza iwe kwenye raha tu shida kila mtu ana wazazi au mlezi ake aende na akaendelee na maisha yake mpk raha kwa pamoja irudi ndipo ndoa irudi
aiseee hizi jinsia pinzaani zimekuwa na matatizo mnoo ..haswaa pale zinapotngulia kushika pesa
 
Mwanaharakati na Mwanasiasa wamekutana, hapo ni che che tu.
 
KWANINI HATAKI USHAURI ? MBONA YEYE ANAPOZUNGUKA KATIKA HARAKATI ZA UTETEZI WA WANAWAKE HUISHAURI SERIKALI KUCHUKUA MKONDO WAKE . KWA NINI YEYE HATAKI HIVYO ,HAFAI TENA KUWA MTETEZI WA WANAWAKE
 
Anajiita Super Woman
 
hoja yako imekaa kinafiki,
 
Ila kijana kama una nguvu nakushauri upige kazii.. Ukimtegemea mwanamke ndo yana kuwa haya.. Na labda kipigo kimeanza kutolewa baada kishindwa kuvumilia dharau
Umesema ukweli,ila kuna vijana tunapenda kupiga kazi fursa za kupiga hizo kazi na kumudu gharama za maisha ndo ishu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…