Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Huyu mdada mpaka leo wamepanga nyumba kwanini?
 
Aisee kuna wanaume wana bahati...Pole sana dada. Huyu ni mvulana na ni mzigo kwa familia. Ungekuwa mwenyewe ungekuwa mbali sana kimaendeleo, huyu anakurudisha nyuma tuu. Kama mna watoto weka mkazo kwa watoto, huyu achana naye.
 
Ila makamanda mameanza kutia aibu.. hatari sana
 
hatujasikia upande wa pili jamani tusihukumu.na je kama huyo mume wake anahudumia lakini kipato ni kidogo atafanyaje?
 
Tunaendwlea kuoata data hapa.... enheee .. ikawaje tena mkuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
usiombe kukosa hela aisee kama huna mwanamke mwenye busara umeadhirika hakiyamungu.pole bwana kileo
 
Tujirekebishe kwa lipi kwa mfano.funguka
 

Tafadhali wenye matv mnyimeni kabisa nafasi ya hicho kipind chake hata akilipa mamilion atatuharibia ndoa nying sana huyu mjinga. Kwan ye ndo wakwanza kupigwa kwenye ndoa? Hayo mambo angeenda kumaliza kwa wazazi wao huko. Sio kwenye matv.
 
Binadamu si nguzo kusema anabaki hivyo hivyo milele

Mtu yoyote anaweza kubadilika wakati wowote,
Hivyo kumchunguza sana mtu wala siyo suluhisho
 
Ahsante mkuu...nafikiri hajui alitendalo.
 
Ukishaona mwanamke anabandika makucha km jini...!

Hata awe mwanaharakati wa Malaika jua huo hamna kitu kichwani
 
Umeamua kututukana,ila usituchanganye na tena usiamini saana upande mmoja.hasa nyie wanawake ni waongo sana kwani kumsaidia majukumu hata kidogo hairuhusiwi?nimangapi yeye amesaidiwa jamaa hajatia neno hata kwa jirani? Sisi wanaume tunakufaga kijerumani na tai shingoni hata kama ninamatatizo na ndoa yangu wa kwanza kupiga kelele ni mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…