Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Mi ningemtwanga zaid af nisepe... Atangaze vizuri. Wakati namtwanga namrekodi na sim yake live...
 
pole
 
selfishness na utaambiwa ni vitabu vya Mungu vimeagiza.hatuna maneno wanaume
 
Wasubiri tumalize deni la billion 700 za mwenyekiti..tutaanza kuwalipa tu..
 
Hivi Dada ulishasikia au kuona Mtu kakwama!?Huyo jamaa hana sehemu ya kujibu na si sahihi kwa Mwanamme kujibizana..lakini kama mkiwa mnapata fursa za kusikiliza Upande wa pili Haki wanaume tunateseka mno.....!!Joyce alichokifanya si kitendo cha Ndoa/Uungwana....!mwanamke anayetambua Kuwa yeye Ni Mke Wa Mwanamme aliyempenda na akachagua kufunga nae pingu za maisha.. siyo rahisi kufanya kama alivyofanya Bi Joyce.
 
Kuna muda mke anatamka neno au sentensi fulani ambayo namna ya kumuonyesha asije kurudia kufanya hivyo ni kumnasa kibao tu tena iwe kelebu af baada utamuomba msamaha na uhakikishe amejua kwanini umemtandika vile!
Yaani umpe kelebu alafu tena uombe msamaha,!!! Utakua hujasolve tatizo
 
Kwa uzoefu wangu mdogo nimeona mwanamke mwanaharakati ni ngumu ngumu sana kuweza kuishi naye.

Mmoja ni shemeji yangu kabla hajaingia huko walikuwa na maelewano makubwa na mmewe.
lakini baada ya kuingia huko mumewe kaamua kuacha familia yake na kwenda kuanza maisha upya.
 
Ukiona mwanamke hapigwi jua huo ana akili sana au mwanaume ni mjinga sana
 

wanaume wenzangu tuwe makini kuoa hasa wanaume waliokwisha kuachika
 

wanaume wenzangu tuwe makini kuoa hasa wanaume waliokwisha kuachika
 

wanaume wenzangu tuwe makini kuoa hasa wanaume waliokwisha kuachika
 
huyu mwanamke ana matatizo sana,analazimisha kuishi maisha ya ghali ilihali kipato hakikidhi,wanawake mna shida kama huyu ndio mwanaharakati wenu
 
Jambo jema kupigania haki zao but Joyce Kiria ameshindwa kuitendea haki ndoa yake.She was not supposed to post such non sense to the media.
Vinginevyo, wanaharakati wa CDM wanastahili kuenziwa ili waendelee kupambana.
 
Nimekupenda sana...umeolewa?
 
upo smart sana na hivi ndivyo inavyotakiwa tuishi kwenye familia zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…