Ghost Worker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 1,412
- 1,864
Kunguru hana banda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miss you more, siku hizi umefichika!!Sijambo mwenza miss u
Wanaume wa vipi kaka?Nauliza tu sista, hivi wanaume wa hivo mnawapendeaga nini??
Ooh nimekumbuka, wenyewe mnasemaga wako romantic, na mnapenda hiyo kitu, teh!!
Nipo mwenza tunapishana labdaMiss you more, siku hizi umefichika!!
Huajawahi kumbana na dharau na maneno ya kejeli za wanawake wewe, kua uyaone. Ninachoamini kugombana kupo na ni kawaida wa wanandoa. Ila ukiona mume amefikia hatua ya kumpiga mkewe ujue keshavumilia mengi kama MWANAMUME!Pamoja na yote she dosent deserve kupigwa...
Hahahaaaa!! Na wataumbuliwa woote, acha wajibweteke tu.Si kwa kujiliza vile Joyce[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....
Ndo tumejua kuwa Kilewooo ni mariooo la makinikia!
Anaunga tela na akina mb...a..sha, harbashi
Basi nimefurahi kukuona mama.Nipo mwenza tunapishana labda
Ooooh kumbe!!espy bwana nimecheka kwa sauti.
Unajua watu wakiongelea ndoa unachukua ya kwako, ya rafiki yako, ya ndugu, ya Dada, ya kaka, kisha unaichambua inafanana na IPI kati ya hizo.
Kuna watu wanaishi km J wkt mume km K na nawaona tuu wanavyojikaza hapa mjini na wakiwa kwenye vigari vyao wamenuna km wana Carry ya Qms.
Mimi siyo K bwana kila naeleza ukweli
Jata ikimlazimu kusema, hawezi eleza ukweli. Daima atakuja na story za kijifanya innocent kwenye kadhia hio believe me!Mbona hasemi hicho kipigo kimetokana na nini?
Hahahaaaaa!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe kuna ulemavu wa aina nyingi! [emoji28]
Heaven Sent MBITIYAZA
Nawapa Hi! [emoji137] [emoji3]
Binafsi sijawahi kumkubali Joyce Kiria kiviile japo ana mambo ambayo huwa anafanya yana positive impact kwa jamii ila kuna mahali huwa anajichanganya sana hadi mtu unajiuliza huyu mama vipi?!
Jana kapewa kichapo kitakatifu na mume wake, yule jamaa handsome sana nadhani yule mwanamke alimpush to the limit.
Anadai eti yeye mwanamke ndo analipa bills zote za familia hadi kodi ya nyumba. Sasa nimetafakari japo mimi huwa sijali mambo ya watu, huyu mwanamke anaishi nyumba ya kupanga Mbezi Beach tena ghorofa(Mimi nilidhani nyumba yao)
Anaishi maisha ya juu sana, je hasara kwa nani? Acha alipishwe mwenyewe hizo bills.
Na nyie wanaume unaishije nyumbani hata sabuni hununui jamani? Kweli? Acheni hizo makamanda!
Ndo maana mimi sipendi wanaume wa CHADEMA bora wazee wa Lumumba buku saba daily sio mbaya.
VIdeo akimchamba mume asiyelipa hata kodi ya nyumba
Huyu stress zilimzidia akaona hii ndio njia ya kuzitoa, sasa hayo ya shida na raha watajuana wenyewe. Sie tushajua Kilewo ni marioo.Hivi hii ndoa ni ile ya kwa shida na raha?!
Kwa nini mtu usichape lapa kama unaona hafai badala ya kufanya upuuzi kama huu wa kujianika duniani?!, lengo nini haswa, kwamba Walimwengu wamsaidie ama?!..
Hahahaaaaa!!
Nimekumisipo kiduku jamani.
Mkuu,watu wanavyoishi kkwenye mahusiano hasa ya ki ndoa wewe ufanye lipi na mimi nifanye lipi ni mambo ya kawaida tuu sema baadae watu wakigombana ndio inakuja kuonekana fulani anabebwa na mkewe,mfano siku hizi ni kitu cha kawaida tu watu kuoana wakiwa hawana kitu au unaweza ukawa una kitu ila badae ya dunia yakageuka mwanaume ukabaki huna mishe maalumu japo unaendelea kuumiza kichwa na kujishughulisha ili upate chanel iliyo kaa sawa,sasa imagine wew kama mke wangu una mishe amabyo ni stable,Allahamdulillah mambo yako sio mabaya,sasa unaanzaje kuja kumnyanyasa mumeo kwa wewe kulipa bills nk,ina maana wewe wakati huyu jamaa anakuoa ulikuwa hujui kuwa kuna ups and downs,na ni ngumu sana kwa hulka za wanaume yaani yeye awe hana mishe alale tuu akusubirie wewe uje umpe chakula,yaani ni ngumu sana,atapiga hata kalai la zege walau arudi hata na ka mia japo hjakufikia wewe,Sasa hapo unaweza ukakuta jamaa anakuvumilia tuu huku anapigana siku akipata ndio utaanza kuja kusema mwanaume alikuwa hana mishe tulikuwa tunaishi kwa amani leo kanigeuka,kumbe wewe ndio ulikuwa unaanza kumvua nguo wakati yuko majalalaMie naona anajifariji tu hapo ila ujinga aliusababisha mwenyewe tangia mwanzo kwa kujipachika majukumu ambayo kwa upande mwingine wangeweza kuwa wanasaidiana.
Pia nampa pole sana sababu kama ni kweli analipa hadi kodi ya nyumba ni hela nyingi sana ambayo ameshaipoteza.
Ila wanaume na nyie hebu jifunzeni kusimama kama wanaume basi. Khaaa.
Huyu stress zilimzidia akaona hii ndio njia ya kuzitoa, sasa hayo ya shida na raha watajuana wenyewe. Sie tushajua Kilewo ni marioo.