Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake Live sasa ni Mubashara bila chenga. [emoji23] [emoji23]Naona wanawake Live imekuwa live kweli kweli.
Haha kazi kweli kweliWanawake Live sasa ni Mubashara bila chenga. [emoji23] [emoji23]
Wanaume tunahesabika bibie,Mie naona anajifariji tu hapo ila ujinga aliusababisha mwenyewe tangia mwanzo kwa kujipachika majukumu ambayo kwa upande mwingine wangeweza kuwa wanasaidiana.
Pia nampa pole sana sababu kama ni kweli analipa hadi kodi ya nyumba ni hela nyingi sana ambayo ameshaipoteza.
Ila wanaume na nyie hebu jifunzeni kusimama kama wanaume basi. Khaaa.
nilee mimi
Kama wa huyo J, wasiotimiza majukumu yaoWanaume wa vipi kaka?
nakusalimia tu mdada
Hata mm nimekunda mkuuNimekunda buree mkuu
hata mimi ukiniona utanipendanmependa kilewo mkuu
Mkuu, ulimaanisha wanawake waliokwisha kuachika ama?wanaume wenzangu tuwe makini kuoa hasa wanaume waliokwisha kuachika
Mie nimeshindwa kumuelewa kabisa etu nalipia kodi ya nyumba,who are you usilipie kodi ya nyumba??? Hata angeishi peke ake angelipa Hiyo kodi,mbona mwanzo ambavyo hakulipa hajatangaza kama mumewe is responsible analipa kodi ya nyumba? Such a blood kabich,anatutangazia hali ngumu kwani haoni kwa kila mtu hali ilivyo? Analalamika yeye anatake responsibility ni nani katika familia anayoi hudumia?? Si ni mama!!!! Joyce such a damn kabich.Anataka sympath na attention.