Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Lakini kwa nionavyo,ameumizwa kihisia.
Ingawa njia alotumia ni mbaya.

Sasa hapa atajizidishia aibu.Mtanzania hanaga huruma na mtu asiyemhusu.
Huyu Dada anaonekana ana mdomo mchafu,kinda stupid. Inaonekana hana nidhamu na mume wake,jambo ndogo hivi anatoka kwenye kadamnasi kutuhadithia,anashauriwa anajibu sitaki ushauri blah blah blah...mbishi,kiburi...apigwe tu in pinda voice.
 
Womens?housegirl hata umpe nini atabaki na element zake.
umeniwahi! issu inaweza kuwa ndogo kama atayakubali mapungufu yake na asili yake kisha ndio atembee na fursa iliyo mbele yake vinginevyo bado ataonekana mtumwa
 
mwee
 
Mbona hata ngeu hana alpigwa kweli au alisogezwa tu atoe njia mtu aondoke zake kuepusha kelele
 
Wakiwa na maisha mazr hawatangazi ngoja wayumbe kiuchumi
 
Trying to play victim, huh! Hivi unawekaje mambo private yawe public kiasi hiki? Oh my...

Huyo Kilewo nae anakubali vipi kuishi nyumba ya millions of shillings badala ya kupanga an adequate house for less money na kujenga yao?

Hivi unaishije nyumba ya 10million per annum na hujaenga?(hypothetically) Kwa nini usiishi kwa level zako ili ujenge?

It's a big lesson to young people, live within your means, mwanamke asikuendeshe eti twende masaki kuna apartment za $1000 p.m wakati kipato chako hakiruhusu, siku ukiishiwa atakuwa wa kwanza kukunanga.
 
Jamaa alikuta matatizo mwenzake ameyatupa yanazagaa kando kando ya bahari yeye akayaokota na kuyapeleka nyumbani sasa kimelipuka
 
Mimi ningemuacha hii ndo sababu nataka mama yangu anitafutie mke Hawa mademu tunaotafuta ni stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…