Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Hajitambui huyo dada mwanamke mwenye akili anahakikisha privacy ya familia yake ni kitu cha mwsho na muhmu ...maandishi na audio znadumu anafkri watoto wakikua watamuonaje! Zaidi ya kumuona mama asiye na akili na busara....naweza kusema ni shule ila kuna wenye shule pia ambao ni problem kama yeye au zaidi ...Mume wake anatakiwa asmame kama mwanaume na yeye ana makosa mke hawez kuamua wapi pa kukaa na wapi pa watoto kusoma huo ujinga nazan aliulea mwenyewe sasa jipu linapasuka ....kama mwanaume anatakiwa kua na final say kama aktaka kwenda kukaa magorofan aende mwenyewe na pia shule ya watoto anatakiwa aamue hawez kupeleka watoto feza au Tanganyika International wakati kpato chao ni cha St.Marys hayo matatzo Mume wake kayalea but ana mda wa kumaliza tatzo kwa stage hali ilivyo nazan aweke msmamo mke akikataa basi walee watoto kila mtu akiwa kvyake asijpe stress kwa ajili ya mwanamke asiyejtambua
 
Mganga hajigangi.
 
Kupata mwanamke anayejitambua ni bahati siku hizi. Halafu anaonekana mjuaji sana, usikute jamaa aliamua kumpimia tu na mbwembwe zake.
 
Nitashangaa sn huyo mumewe akirudi kwenye hiyo nyumba baada ya hii video...elimu ni kitu kizuri sn jamani joyce angekuwa amefika hata form 4 asingweza kufanya haya
Nasikia alikuwaga beki tatu, sijui ni kweli!
 
bora sisi tulio owa wazungu pasu kwa pasu-akilipa yeye miesita next bill ni yako-ila shida ni kwenu nyie wa kuu mwanamke akinunu sabuni tuu mpka vyombo vya habari vitapata uhondo,watu weupe shodaa ila raha amtoani jasho mwendo wa pasu kwa pasu tuu,utake si take
 
Ndoa ya kwanza iliisha kea matarumbeta, ndoa ya opili imeisha kea video

Kuna haja ya Joyce kujitazama Sana

Tunaangalia Sana one physical abuse incidence na kussahau perpetual psychological na verbal abuse ambazo si ajabu ndio kawaida yake

Provocative people are the most vocal when it comes to cry foul
 
Hongera sana Joyce kwa kuanika your dirty laundry out in the open for every one to see. Job well done.

Labda kama huo ndio mwisho wa uhunzi! Vinginevyo, mambo ya ndani ya nyumba huwezi kuyasawazisha kwa kwenda public; a bad situation will just get worse!
 
Wengi huwa wanahubiri yaliyowashinda wao wenyewe. Wale kinamama wengi waliopo TAMWA etc ni masingle moms. Haya mambo magumu.
Inasikitisha sana!
Inasemekana hata makungwi wengi hawana/hawadumu katika ndoa zao.
Huwa nashindwa kuelewa,ina maana wanayowafunza wenzao wao hawayatumii kwenye ndoa zao au?
 
Dah....kumbe waliosema mwanamke sio sura hawakukosea.....Elimu inasaidia sana hata ndogo tu ya Form V.....
Huyu mama kazingua sana....mambo ya familia mitandaoni ya nn?Hajui kuna wanawake wanapitia magumu zaidi yake na wanapambana....kulialia mitandao ili kupata sympathy ni uduwanzi kabisa..
 
Wapi nimesema kusaidiana hairuhusiwi? Umeyajuaje hayo mangapi anayoyasaidia Mkuu?
 
Reactions: BAK
wajina mwenzio unamsema hivyo
 
Wajina mjinga simuonei haya namchana tu.stive nyerere,wastara wenzao wamenunuliwa kwa dau kubwa wakiumwa watajitibu wao walijiuza kwa bei ya supu watakoma.sasa wanabaki wanalialia kwenye mitandao nabado,ccm itawatoa nyongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…