Yonni Jr
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 320
- 271
Hajitambui huyo dada mwanamke mwenye akili anahakikisha privacy ya familia yake ni kitu cha mwsho na muhmu ...maandishi na audio znadumu anafkri watoto wakikua watamuonaje! Zaidi ya kumuona mama asiye na akili na busara....naweza kusema ni shule ila kuna wenye shule pia ambao ni problem kama yeye au zaidi ...Mume wake anatakiwa asmame kama mwanaume na yeye ana makosa mke hawez kuamua wapi pa kukaa na wapi pa watoto kusoma huo ujinga nazan aliulea mwenyewe sasa jipu linapasuka ....kama mwanaume anatakiwa kua na final say kama aktaka kwenda kukaa magorofan aende mwenyewe na pia shule ya watoto anatakiwa aamue hawez kupeleka watoto feza au Tanganyika International wakati kpato chao ni cha St.Marys hayo matatzo Mume wake kayalea but ana mda wa kumaliza tatzo kwa stage hali ilivyo nazan aweke msmamo mke akikataa basi walee watoto kila mtu akiwa kvyake asijpe stress kwa ajili ya mwanamke asiyejtambua