Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati anakubali kuolewa alikuwa hajui kama huyo mumewe hawezi kulipa bills?! Na kama huyo mwanaume hafai kwann haachani nae atafute mwingine wa kulipa bills.
Ni kweli alisemaga mwenyewe kwenye kipindi chakeNasikia alikuwaga beki tatu, sijui ni kweli!
Kunaitajika amendment kidogo kwenye mume/mke kwenye shida na raha napendekeza iwe kwenye raha tu shida kila mtu ana wazazi au mlezi ake aende na akaendelee na maisha yake mpk raha kwa pamoja irudi ndipo ndoa irudi
sasa kama kamanda mkubwa kama yule hayupo kwenye payroll ya chadema nani atakuwepo mkuu?