Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Sheikh kipozeo alishayasema haya mambo.. Tatizo tunamchukulia poa sana huyu jamaa!

 
Wakati anakubali kuolewa alikuwa hajui kama huyo mumewe hawezi kulipa bills?! Na kama huyo mwanaume hafai kwann haachani nae atafute mwingine wa kulipa bills.

Mwanaume mashineeee...mwanaume mashineeeee.
 
Uyo Joyce kiria amesha zeeka sana ...kiukweli kamanda kilewo alioa bibi ..alafu kamanda kileo sio kwamba ana hela uyo mke wake ndo mwiz ajui kupanga matumizi ..uwezki kuoa bibi kama huyo ukategemea Aman kweny nyumba...mtu unabid utafte sahiii sio uyo aliyemzid umri.
 
Kama namuona vile dj Nelly kwa pembeni akicheeeeka kwa dharau,hahah.

Anatakiwa kubondwa mpk atolewe meno 3 ya sebuleni,itapendeza zaidi.
 
watu wanaandika comment ndefuuuuuuuuuuuu mwenyewe ameshasema hataki ushauri.

ila nawaambia maneno ya wanawake wengi msiyaamini sana ni porojo tu za urojo
 
Kuna mdingi akishawahi kutoa kichapo cha haja kwa mkewe na watoto wake kisa aliwakutaga wanaangalia hicho kipindi cha wanawake live
 
Ukioa bila kutumia akili ndo hasara yake hii. Mwanamke wa aina hii unategemea nini
 
Kunaitajika amendment kidogo kwenye mume/mke kwenye shida na raha napendekeza iwe kwenye raha tu shida kila mtu ana wazazi au mlezi ake aende na akaendelee na maisha yake mpk raha kwa pamoja irudi ndipo ndoa irudi

kwani nani anazuia hilo hivi sasa?
 
Huyu mchaga hakupitia unyago kabisa mambo ya ndani unatuletea sisi ili!?
 
Arrogant Joyce.. Alimwacha mume wa mwanzo, akaamua kufunga ndoa ya haraka na Kileo akijua kuwa Kileo atakuwa mbunge, sasa ubunge hakuna tena... Le super woman mchaga kachanganyikiwa maana alisha piga maheshabu ya maisha ya juuuuuu mbinguni
 
huu uzi ndio unanifanya nizidi kuchelewa kuoa. Mwanaume mzima tena unajiita kamanda unaoa mwanamke wa kichaga. Hao wanapenda hela alafu mapenzi hawajui, K zao hazina radha tamu kama nanasi, tena ukimkuta yule pure mama wa huko baba wa huko ndio balaa. Daaah, ila kamanda punguza (y2-y1)/(x2-x1)=M , y=m (x+b)
 
Hawa ma feminist na women empowerment activists ni wa kuwaogopa kiaina kwa afya ya roho.
 
Ila wanawake bhana hahahaa sasa kulipa kodi ya nyumba ndo analia hadi kwenye kamera heeee!
Mimi mama yangu amaenisomesha kwa kupika Kangara na Wanzuki hadi nimemaliza na sikuwahi msikia amlaumu baba kwa lolote hata siku moja.
Acheni kubweteka aisee sio kila kitu afanye mwanaume, maisha ni kasaidiana nyakati zinatofautiana kuna kupata na kukosa.
Mimi binafsi kosa la mwanaume ninaloliona hapa ni kuruhusu mwanamke atawale maamuzi ya Familia kama hizo Shule za watoto na kwenda kuishi kwenye jumba la kodi kubwa...mwanaume ndiye mwenye maamuzi ya mwisho ndani ya Familia tofauti na hapo ni udhaifu na haya ndio matokeo yake.
 
Back
Top Bottom