Baada ya kumjali na kupigania mafanikio yake, leo nimegeuka kuwa mshamba

Niliwahi kuwa na kamoyo kadhaifu kama kakwako aisee ni taabu tupu,

Kwa sasa nashukuru yule mwanamke wa kijaluo aliutengeneza kwelikweli yaani ni maamuzi ndani ya masaa 12
 
kama unauwezo mharibie kazi yake afukuzwe atarudi kwako.
 
Kosa moja ambalo wanaume hua tunafanya ni kudhani kwamba ukimsaidia mwanamke, basi tayari unakua umeuteka moyo wake na anawajibika kuwa na wewe maisha yake yote!

Mapenzi hayaendi hivyo. Unaweza kukuta huyo dada yeye ana mtu wake miaka nenda rudi na huyo jamaa hajawahi kumsaidia chochote ila yeye ndio anampenda huyo.

Wewe kama ulishapewa mzigo kwa hicho kipindi chote ulipokua nae basi ndio malipo yake hayo usitake zaidi.
 
We fala achana nae huyo, fanya kama ulimsaidia moita njia, utamuwaza saana utajitia presha utakufa kingese, unamuacha mwenzio anapigiliwa mbupu duniani, unawaachia wenye kukupenda kweli pengo lisilozibika...

Kuwa MWANAUME.
 
Nilimkuta akiwa ana stress za maisha baada ya kumaliza masomo yake katika chuo fulani. Nilimshika mkono, nikamfuta machozi kisha nikampenda na nikamfundisha kunipenda

Mkuu kama hiki ulichoandika ni sahihi basi bila shaka ni wewe uliyependa na sio yeye aliyekupenda...

Maadam upendo ulikuwa wa upande mmoja pekee basi kati yenu hakukuwa na kitu kupendana...

Kwa mantiki hiyo, acha kuendelea kulazimisha penzi

Pitia huu uzi kwa shauri zaidi

Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?
 
Kila siku mnaambiwa humu ila kujifanya vichwa ngumu tuu mwisho wa siku mnarud mnalia lia
 
Wanawake huwa wanajipna expensive sn
 
Jamaa kimachomuuma kanunua malaya kwa bei mbaua na kaz kampa
 
Tenda wema uende zako
Akikuelewa hapa basi inatosha.

Tenda wema nenda zako usingoje fadhila.

Fadhila mfadhili mbuzi binadamu hutomweza ,mbuzi utamla nyama ,mchuzi na supu.

Unajipa stress komaa malizia tasnifu yako focus kwenye mitikasi yako .

Usiwaendekeze Hawa viumbe kachapiwa nikki wa pili wistaz utakuwa wewe[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Follow this advice bruh
 
Andaa gunia la mkaa mwite akifka mchome tu

Nadhan hata umri hamuendani unaonekana wewe n Babu fulan wakat yeye bado binti mbichiii

Any way alikutimia Kama daraja ashavuka ng'ambo ya pili fanya yako zaa mapema umri uanaenda huo shauri yako

Mwenzako huko bugurun amemuacha mumewe kisa hana pumbu je wewe unazo zote mbili isije ukawa unalalamika hapa kumbe una pumbu moja TU au hauna kabisa
 
We fala achana nae huyo, fanya kama ulimsaidia moita njia, utamuwaza saana utajitia presha utakufa kingese, unamuacha mwenzio anapigiliwa mbupu duniani, unawaachia wenye kukupenda kweli pengo lisilozibika...

Kuwa MWANAUME.
The real makaveli
 
Mkuu siku nyingine usifanye tena uwekezaji wa mali na vitu kwa mtu ili uvune upendo wake.

Unaweza mmalaumu huyo binti lakini kumbe alichokuwa anahitaji kutoka kwako ni msaada tu ni si mahusiano ya kimapenzi.
 
Wanawake wote hawa Tanzania bara na visiwani unalalamika kutopokelewa simu na mmoja

Pole sana aisee
Mara nyingi watu huwa ving'ang'anizi wakiwaza jinsi walivyojitoa na kuligharamaia penzi ili wapendwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…