Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kwendraaaaaaa zako, umenisusa sana [emoji8][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]katika ubora wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwendraaaaaaa zako, umenisusa sana [emoji8][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]katika ubora wako
Hivi hao watoto mnaofikiriaga kuwazaa katika mazingira kama hayo huwa mnashirikisha ubongo kweli?Mkuu ulipaswa umpe hata kaujauzito kwanza ndio umsaidie! Hii ingeweza kujenga bond kati yenu! Otherwise wewe ni mwanaume bana, wapo wengi wenye mapenzi ya dhati! Nyanyuka jikung'ute mavumbi songa mbele utashukuru Mungu baadae!
Baadhi ya Wanaume huruhusu Udhaifu kuwashinda hasa wanapowaza Muda na kile walichokiwekeza kwa wanawake wao.
Nilimkuta akiwa ana stress za maisha baada ya kumaliza masomo yake katika chuo fulani. Nilimshika mkono, nikamfuta machozi kisha nikampenda na nikamfundisha kunipenda, nikaishi nae kwa zaidi ya miez kumi. sikuhitaji kumuona akiwa katika msongo wa mawazo bali nilitafiti nikagundua shauku yake ilikuwa ni kupata kazi au biashara ainue familia yake na ajenge mustakabali wa maisha yake.
Niliamini katika falsafa ya ushirikiano katika kujenga mustakabali wetu kwani kila mara alionyesha kuwa mimi ni chagua sahihi kwa kauli na matendo. Nilipambana kwa hali na Mali kwa kipato changu cha kawaida na hii exposure ndogo mpaka nikafanikiwa akapata kazi kwenye shirika moja la miradi ya afya hapa nchini akaenda kufanya kazi nje ya mkoa niliopo mimi.
Wiki mbili baada tu ya kuajiriwa alibadilika sana alibadilika sana, ninaweza kumpigia simu nakuta yuko busy kuanzia saa tano mpaka saa saba usiku na anaona simu yangu inaingia hapokei na akimaliza kuongea hanitafuti hata nikimuulza hatak kusema anaongea na nani, akaenda mbali zaid ukimtumia sms anakujib kwa mkato na ikafikia hatua hataki kunitafuta na nikimtafuta hapokei simu.
Nimewahi kwenda huko anakofanyia kazi nimekaa siku tatu yaani muda wote hajiamini na hawez kutoka nje akaongozana na mm. Dharau na kiburi ndio umekuwa mtindo wa maisha yake. Naishia kuitwa mshamba kwa kumfatilia eti nijiamini. Kifupi nimejitoa kwa mengi nikijua huyu atakuwa mke wangu halaf amekuja kunibadilikia ghafla, inauma sana na Niko katika wakati mgumu sana ukizingatia niko naandika tasnifu yangu niweze kumaliza shahada yangu ya uzamili lakini nashindwa hata kusimamia biashara zangu zinanishinda.
Nabaki muda wote ndani nimejifungia tu roho inaniuma sana kila nikiwaza mawazo yangu yananipeleka mbali zaidi ya jinsi ambavyo siwez kuelezea, nimepitia changamoto nyingi katika maisha yangu lakin hili naona linanizidi.. ndugu zangu naona kabisa jahazi linazama.
Mwenye ushauri mzuri utakaonisaidia na kunitoa ktk hii hali naomba aje PM au hapa hadharani anishauri. Jf naona ndio second home yangu naamini ndugu zangu wenye busara zaidi mtanisaidia.
Kwendraaaaaaa zako, umenisusa sana [emoji8]
Haaaa pole sanaaa ,hope sasa uko poa kabisa kiafyaNilikuwa naumwa bana na mambo yakawa mengi mengi nikabananishwa
But am here[emoji4]

Ujinga mnaofanya ni kuacha kufanya mambo yako ukihangaika na mwanamke! Mwanamke unaetakiwa kuhangaika nae ni yule uliyekaa ndani ya tumbo lake kwa miezi 9!