Baada ya kumjali na kupigania mafanikio yake, leo nimegeuka kuwa mshamba

Mkuu ulipaswa umpe hata kaujauzito kwanza ndio umsaidie! Hii ingeweza kujenga bond kati yenu! Otherwise wewe ni mwanaume bana, wapo wengi wenye mapenzi ya dhati! Nyanyuka jikung'ute mavumbi songa mbele utashukuru Mungu baadae!
Hivi hao watoto mnaofikiriaga kuwazaa katika mazingira kama hayo huwa mnashirikisha ubongo kweli?
Hebu msiwaingize watoto wasio na hatia katika maujinga yenu, mmeshindwana ni mmeshindwana tu. Nyie ndio mnaongeza vizazi vya ajabu ajabu huku duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila nyie wanaume wengine nguvu ya kusomesha na kutaftia madem kazi cjui mnaitoa wapi?? Siku zote ukimsaidia dem anakuona sijui mdhaifu ndo maan visa kama hivi haviishi! Hivi hao madem mnaowasomesha ni yatima??Au mnatumia vigezo gani kuwasomesha?? Unakuta mtu ana ndugu zake wana shida hawasaidii anajikuta bodi ya mikopo😂😂😂
 
Bora umejua mapema achana nae usije yakawa makubwa zaidi ya hapo

Umefikia hatua nzuri katika maisha kuwajua wanawake jinsi walivyo
 
Ujinga mnaofanya ni kuacha kufanya mambo yako ukihangaika na mwanamke! Mwanamke unaetakiwa kuhangaika nae ni yule uliyekaa ndani ya tumbo lake kwa miezi 9!
 
Kinachokusumbua kwamba unamfanyia wema na bado kakurudia kwa mabaya wema wako utalipwa kwa mtu mwingine mkuu
 
Tenda wema nenda zako, sio lazima kila mahusiano yaishie ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Baadhi ya Wanaume huruhusu Udhaifu kuwashinda hasa wanapowaza Muda na kile walichokiwekeza kwa wanawake wao.

Ndio maana utaona, Wengine wanaishia kujiua, wengine wanakua walevi kupindukia, nawengine hata wanaamua kuua.

Mtu mzima apatapo jambo, niwaz kwamba mtu mzima huyu kichwa chake huparaganyika sana ,na mwanzo wa kuona Machozi ya mtu mzima.


Lakini nanyinyi wanawake, Hii yote yann?? kwann unaruhusu kuingia katika mduara wa maisha ya mtu ambaye unauhakika 100% kua humpendi?.shida zako??


Alafu sasa, mkiwa hamna kitu mnakua watiifu sanaaa sana, subiri upate pakujishikiza sasa .


Ama kweli shahidi wa uhakika ni 'Muda' tu, muda sahihi ukifika ,utamjua mtu na asili yake
 
Hao viumbe nd walivyo
 
Daah hakukupenda, wew ndio ulimpenda tena saana na alijua hilo
 

Pole sana Jeeper Screeper!
Mapenzi hayalazimishwi,mpe muda wa kufanya upumbavu wake(Penzi Jipya ),baadae atarudi normal kama ni wakurudi!
Umemgharamia mambo mengi usiyahesabu,fanya kama ulimsaidia mpita njia.

Jipe moyo mkuu - badilisha focus! Fanya Maombi,lipe muda jambo hili,Hebu concentrate na research yako Brother.
In life anything can happen,what matters is not why is it happening? - but how we react it matters a lot!
Mungu akujalie Ustahimilivu kupita salama kwenye Tanuru - Ukipita Unakuwa Sugu - Dhahabu safi.
Once again pole.
 
Ujinga mnaofanya ni kuacha kufanya mambo yako ukihangaika na mwanamke! Mwanamke unaetakiwa kuhangaika nae ni yule uliyekaa ndani ya tumbo lake kwa miezi 9!

Bro, hili lilikuwa kipaumbele changu tangu nikiwa nasoma. Naweza kusema nimejitihadi kuboresha ustawi wa wazazi wangu kwa zaidi ya asilimia tisini nikiwa under 28, Nimetoka familia ya mtanzania aliyepata riziki na rasilimali za kunisomesha kwa jembe la mkono, nafahamu shida za wazazi na ndio maana sikuwahi na wala sitaweza kuwatupa.
 
Kwanza pole kwa yaliyokukuta, ninachotaka kusema usiruhusu mtu mwingine akupe furaha maishani mwako.
Mara zote shukuru kumtambua vyema mtu tabia yake katika hali zote za shida na raha. Huyo uliyekuwa naye kwenye shida anataka muwe wote ila kwenye raha anajitenga na wewe.
Sasa huzuni ya nini wakati umemjua tayari? Songa mbele na mambo yako hiyo ni fursa nzuri kumpata ambaye ni sahihi zaidi kwako.
 
Kila siku tunasema anaesomeshwa,anayetunzwa, ni mke mtu sio girlfriend Bado watu hamjifunzi
 
We are the one who creat our reality.... take care of your thoughts and feeling.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…