Baada ya kumjali na kupigania mafanikio yake, leo nimegeuka kuwa mshamba

1. Jeepeers and creepers!! Kama nakumbuka vzr ni muvi moja ya kibabe sana..

2. Shahada ya uzamili, hii si ni master degree?

Mapenzi yana nguvu hivi??

All in all, kama ulimpeleka kwa miradi ya afya ya HIV, huko kuna vihela hela vya kununua mboga.
Amekutumia kama daraja, maisha ndivyo yanavyohitaji.. Kila mtu anahitaji daraja la kumfikisha sehemu.

Move on bro.
 
Nenda club, piga bia tafuta mademu visu zaidi yake lakini fanya hit & run tu... Life is too short to make rooms for heart breaks, enjoy it while you still have it... Your happiness lies within your own hands, not from others.
 
unategemea kumaliza shahada yako ya uzamili lakini hujui jinsi ya kuhandle issue za mapenzi? mkuu wewe kweli ni mshamba na inaonekana umejifunzia mapenzi uzeeni, hamna cha kuwashauli watu kama nyinyi.
 
Fanya mambo yako, mpotezee kabsa, japo ni ngumu,ila ni possible. Ukiweza futa namba yake. Muda ni mwalimu mzuri..kuna siku atarudi analia na kujuta kwa nini alkukosea, then na wewe unapotezea mazima
 
Umemfundisha kukupenda. Hapo ndipo chanzo cha maumivu.
 
Kwanza kuondoa hali kama hiyoo jichanganye na watu ukikaa pekee yako maumivu yanazid, pili tafuta demu wa kuzugia kwa muda
What if akampata demu wako ndo akawa anamzugia kwa sasa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].
 
Nawakumbusha tena wanaume wenzangu,MCHUMBA HASOMESHWI NA WALA USIFANYE UWEKEZAJI WOWOTE KWA MCHUMBA ZAIDI KUMPOZA KWA BUKU BUKU TU.
 
Hapo mm ndio huwa nakuwaga tofauti kidogo na wengine. Kama ni wake, basi hataondoka. Kitendo cha kuondoka tu, huyo sio wake. Yani aende huko apelekewe moto weee, mambo yakiwa magumu ndio arudi tena kwa jamaa???
Inashangaza mnoo mkuu yan wanawake akili zao za hovyo mnoo ..Et kama n wake atarud ...
 
unategemea kumaliza shahada yako ya uzamili lakini hujui jinsi ya kuhandle issue za mapenzi? mkuu wewe kweli ni mshamba na inaonekana umejifunzia mapenzi uzeeni, hamna cha kuwashauli watu kama nyinyi.

Naamini katika honesty, humanity, commitment & care kama uwekezaji mzuri katika mahusiano yenye tija kuelekea ndoa. Na kama sio siwezi kuwa prayer, less commited and rude bali sioni busara yake. Kama kuamini katika falsafa hii ni ushamba kwa tafsiri halisi basi nakiri kweli mimi ni mmoja wa hao washamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…