Hhhhhhhaaaaa mimi yale yangu ya moyoni hua sisemiii ng'ooo ntaongea tu yale ya kuchekesha na umbea wa juu juu hata tukisemana hayanipi aibu, mim nishapunguza marafiki hao marafiki mwisho wa siku wanakuchukulia mumeo
Hahahaaaa me huo ushost hadi kwa mpenzi wangu sinaaa....
Ushost unaishia kwenye umbea baaaasss....
Hhhhhaaaaaaaa eeee anaekula wa karibu yako na unaemuaminii
Basi Shoga hivi siku hiz imekuaje unachanga harusii halaf hupati kadii na huyo mtu ni mtu wenu wa karibu ,mwisho wa siku anakuambia kadi utaikuta ukumbini hapo ni saa 3 usiku,
Hivi unamuelewaje huyo mtu
Kwa kweli mimi hap ningeshukuru manake angekuwa kanipa sababu ya kulalaa...sipendi kutoka usikuuu...hiyo kwa upande wangu..
Ila kama vipi we nenda tu ukumbini, huwezi jua mambo ya kibinadamu labda alighafilika...akasahau kukupa kadi mapemaa...na hivyo ni mtu wa karibu sio mbayaa...
Makubwaaaa, hata kama huendi au unaenda kukupa kadi ni lazima ,nishamuweka kapunii mtu akiona wa ziada we muweke pembeni kabisaaa
Kama ni mtu wa karibu we samehe tuu...labda alikuwa na mambo mengi akasahau...
Nawe unamteteaa unaniudhi sasaa mxxxxxiuuuuu badala unipe mipango miji
Hahahaaa ndio namteteaaa...uende hukooo mwenzio huwezi kujua alitingwajee....kuandaa sherehe si mchezoo...
Heheheee ..hata ukinuna ndo uende, bahati yako sijui tarehe mbona ndo ingekuwa signature yangu siku hiyo...ningeandika Dinazarde uende kwenye sherehe"
Nilivyo na jini kinyongo kwani niliendaaa,alipiga simu nikamkatiaa akatuma sms nikamjibu kifupi kua siji
Sherehe ishapitaaaaa
Nilivyo na jini kinyongo kwani niliendaaa,alipiga simu nikamkatiaa akatuma sms nikamjibu kifupi kua siji
Sherehe ishapitaaaaa
kafanya kusudi mbona mchango hakusahau kukumbusha!
Bahati yakoo....
Bado niko huku kwa wassira wangu, nikirudi nitapita home kwako
Mi nilikua nakunywa chai huku napiga umbea humu