Baada ya kumpa ujauzito, mapenzi yameongezeka sana

Akizaliwa mtoto pima DNA
Uko na akili mingi. Miaka kadhaa ilikuwa nipigwe tukio la kugawiwa mtoto. Demu kanizungusha sana hatimaye kakubali nimuonje. Kabla ya wikendi tuliyopanga aje geto nilipata safari ya kikazi ya miezi miwili. Alisikitika sana. Tuliendelea kuwasiliana lakini hatimaye akafunguka kuwa anaujauzito, akaniomba niwe baba wa huyo mtoto kwa sababu huyo na alishapanga siku hiyo tufanye ili ahalalishe kuwa ni mimba yangu. Niliumia lakini nilifarajika kuwa Bwana amenitetea japo nilitaka kufanya uzinifu.
 
Angalizo ni muhimu, hawaaminiki hawa viumbe
 
Hakiki akijifungua,kama ni mwanao kweli.Yawezekana unaona mapenzi yamezidi,kumbe haamini kama kweli kakubambikizia,hivyo anakuzuga kua mtoto anakutaka kila mara.
Nami nasubiria matokeo, ingawa amesema yuko tayari tupime dna; changamoto nyingine anataka nimsindikize klinik kwa ajili ya usajili 😀 😀
 
Yote hayo yawezekana anakuhakikishia,uamini,hujawahi kuona mwanafunzi anampiga biti mwanafunzi mwenzake,hadi wanakubaliana waende hadi kwenye ofisi ya mkuu wa shule,wakifika mlangoni wanageuza... kumbe mmoja wao alikua anampiga biti mwenzake.Kaa vema broo.

Huu ushauri nauchukua; mtoto akifanana na wajomba zake, nafanya U turn haraka 😀
 
Back
Top Bottom