Baada ya kumpa ujauzito, mapenzi yameongezeka sana

Baada ya kumpa ujauzito, mapenzi yameongezeka sana

Hamna bwana sio wote. Kuna wengine ni watulivu ubahatike tu kumpata asiye na mambo mengi.
Ambao hawana mambo mengi ni hawa wa muonekano wa kawaida; ila nyie wengine, mnatufanya tunanena kwa lugha mbalimbali
 
Mkuu kwanini umependekeza mwanao atoke kwa mwanamke anatumia vilevi?
Ata mimi natumia kilevi; tunywe bia ili kuleta uzalendo kwa ndugu zetu wanaofanya kazi kwenye hizo kampuni, mauzo yakishuka watafukuzwa kazi na kuongeza masikini wengi nchini.
 
Umemuomba umtie mimba akakubali,una mke Na watoto,kesha waambia ndugu zake wamesema jambo la kheri Ana umri Wa miaka 34 kisha pisi Kali hujiongez bado mwamba utaharibu ndoa yako kwa uzembe Na tamaa wananjama nyingi hawa viumbe akina Delila keshakujaza Na ushajaaa Na hutokaaa kuchomoa
 
Mbona na mimi nina muonekano wa kawaida sana [emoji23][emoji23]Unaweza bahatisha hata pisi kali inayojitambua mbona zipo.
Uliponipita pale town, acha tu ninyamaze nisije nikaongeza ushindani 😀
 
Umemuomba umtie mimba akakubali,una mke Na watoto,kesha waambia ndugu zake wamesema jambo la kheri Ana umri Wa miaka 34 kisha pisi Kali hujiongez bado mwamba utaharibu ndoa yako kwa uzembe Na tamaa wananjama nyingi hawa viumbe akina Delila keshakujaza Na ushajaaa Na hutokaaa kuchomoa
Bahati nzuri wote niliozaa nao wanajielewa, wanajua mipaka yao.
 
Back
Top Bottom