Baada ya kumsafirisha mke najisikia amani, furaha na wepesi wa kutosha. Ndoa inahitaji umakini usiomithilika

Pole sana mkuu. Inaudhi sana unapambana kwa ajili ya familia afu unakuta wife anakuletea maudhi ya kithenge.
 
n
i kawaida sana mkuu....nakushanga umeichukulia in a negative way
 
Basi asililize hata radio tu. Aache ufala wa vitu vidogo vidogo, kazi ya mume ni kuhudumia familia na sio kugombania remort ya TV na watoto, mimi hata kuwasha TV siku hizi siwezi,
mwanaume wa kwanza kwenye huu uzi...kongole..wewe ni Mwanaume halisia..nashangaa kugombania tv na wife
 
Hivi kwa matumizi ya sasa yalivyojuu au makubwa zaidi ya kipato...kwa wale wenye familia ni hela gani mzuri ya kumpa mke kama matumizi ili mwezi mzima asikuombe au akae hata week mbili bila kuomba hela..
200k
 
Sasa mtu wa kukaa ananunanuna,hilo zoezi lenyewe litakuwepo kweli? Na huenda baada ya kuona hivyo,jama ameamua tu ajue yuko mwenyewe.
Mwanamke hata anune mchana kutwa, akishavua nguo kununa kote kunaisha. Ukiwahi kukojoa kabla yake ndio ataanza kukusemesha, lkn ukimuwahisha kukojoa, fasta tu akishamaliza kukufanyia usafi utamsikia anakoroma tartiiibu na mkiamka kesho bifu limeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…