Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Anapambania maslai sawa ila afuate taratibu sio kupita njia za matapelPoor reasoning kwaiyo kama kuna watu wanalipwa laki 5 na yeye ndo asiseme mshahara mdogo. Angalia value ya kile mtu anacho fanya sio kufananisha mshahara na watu wengine. Kuna watu wanalipwa million 10 na bado wanalalamika mshahara mdogo.
Back to the topic Feisal anahaki ya kulalamika it doesn't matter ametumia njia gani he's fighting for his life akilkosa maslahi mazuri kesho mkamkuta amechakaa nyie nyie ndo mtakae msema vibaya
Hili jambo ni lakuweka hisia pembeni na kuangalia uhalisia zaidi
Yaani kwa maelezo yangu hayo, hilo ndiyo umeng'amua. Kweli kazi ipo.Hivi unadhani mshahara wa SAKHO unalingana na wa KAPOMBE?
Mmmh hapana. Kwa Tanzania hii ya leo, huo ni mshahara mdogo kwa mchezaji tegemeo wa timu kama Yanga huku kwenye timu hiyo hiyo kuna wachezaji wanalipwa zaidi ya milioni 20, gap hiyo ina matatizo.
Linganisha vipato vya kina Diamond, Harmonize na Marioo ndiyo level anazotakiwa kuingiza mchezaji kama Feisal kama mmoja wa mastar wazawa. Hii najumuisha mshahara na mazagazaga mengine anayolipwa ndani na nje ya club.
Kiukweli kwa mpira wa sasa, kiwango cha chini cha malipo kwa timu kama Yanga au Simba kinatakiwa kuwa around milioni 8-10 na hii ni kwa wale wachezaji ambao ni wasugua benchi.
Ndio alishwe ugali sukariBinafsi sikuwahi kuwaamini viongozi na wanasheria wa Yanga kwenye suala zima la mgogoro wa kimkataba na Feisal Salum kwa wasababu ya historia mbovu ya mikataba na wachezaji ambayo Yanga wamekuwa nayo.
Lakini baada ya kumsikiliza mama yake Feisal nimejiridhisha kuwa kuna watu kwa makusudi na mslahi yao binafsi walitumia mwanya wa uelewa mdogo wa mambo ya kisheria kuwaaminisha kuwa Feitoto anadhulumiwa na Yanga.
Ukimsikiliza mama anarudia rudia tu kusema eti mwanae(Feisal) kadhulumiwa sana na Yanga, sheria itende haki inakuaje mwanae alipwe milioni 4? Anasema Feitoto ana majukumu mengi ya kusomesha ndugu zake n.k. Najiuliza wakati Feisal anasaini mkataba mpya kutoka mil1.6 hadi 4.7 mama alikuwa wapi kumpambania mwanae ili asaini dili nono litakaloendana na thamani wanayodhani anastahili? Leo inakuaje aone hizo mil.4 ni ndogo na mwanae anadhulumiwa? Je kuna pesa yoyote ambayo Feitoto alistahili kulipwa na mwajiri wake na hakulipwa? Hata mimi ambae si mwanasheria sioni hoja yoyote ya msingi.
Ndio maana watu wengi wanaomtakia mema mchezaji wameshauri mara kadhaa familia na mchezaji mwenyewe warudi wakae mezani wazungumze na uongozi wa Yanga ili wayamalize kifamilia na kiundugu kuliko hiki kinachoendelea. Feitoto na Familia nzima wanapaswa kujua sheria haitambui huruma, ila huruma inaweza kupatikana kupitia vikao suruhishi endapo watakaa na kuzungumza km familia.
Narudia tena Familia imerubuniwa.
Sasa wewe unaongea nini na mimi nimesema nini? Mimi nimeongelea kiwango cha chini cha mishahara kutokana na ukubwa wa timu hizi mbili. Na pia nimegusia kuthaminisha kipaji chake ndani na nje ya uwanja? Katika post yangu hapo wapi nimeongelea mambo ya kuvunja mikataba?Tumia akili kufikiri sio unatumia tumbo
Wakati feisal anasaini huo mkataba alikuwa hana thamani ya hela iyo,
Wenzetu ulaya mchezaji akisaini mkataba kuna vipengele vya kuongezeka bonus na rewards pale ambapo kiwango chake kinazidi kupanda sometym hata timu aliyotoka (iliyomuuza) inaahidiwa lbd ikiwa timu itashinda Uefa Champion league tutawaongezea kiasi kadhaa..
Next time fikiria Yanga wangekuwa ndio wanavunja mkataba wa feisal kwa 7bu performance yake imeshuka…. Mngesemaje tena kaonewa kamwaga jasho lko na mashuti yake ya mbali leo wamemuacha
FEISAL si alitaka kuvunja mkataba kwa kuwalipa YANGA, fedha ya kuvunja mkataba zaidi ya shilingi million 100?Kuna watu hawapo serious! Yaani mshahara wa milioni 4 anaona ni mdogo! na wakati
Imagine timu nzima ya Majimani Fc ilikosa milioni 1 tu ya kuwawezesha kusafiri kutoka Dar, kwenda Songea!! Hadi wakapata msaada kutoka kwa Erasto Nyoni mwenye asili ya huko!!
Mama amekosa kabisa hekima kwa kushindwa kumshauri mtoto wake kuto kuchezea kazi inayomuweka mjini, kwa kurubuniwa na matapeli.
Mimi nitakua Simba hadi kufa...kuhusu hili shauri la Feitoto ni vile kila mtu kwa mtazamo wake ataichukulia..halafu mbumbu sio timu au Club...mbumbu ni individual hata Yanga huko kuna mambumbu kibaooo...Kuanzia leo, nimekutoa kwenye kundi la mbumbumbu. Nadhani wewe ndio Kolo pekee mwenye akili. Ilikuaje ukashabikia hilo li timu la mbumbumbu lakini?
Feitoto na familia yake wanadhani haya mambo yanaendeshwa kwa emotions na kutia huruma. Hawajui kama haya mambo yanaendeshwa kwa mikataba inayotambulika kisheria.
Huwezi kusaini mkataba wa milioni nne, alafu ukalipwa milioni kumi. Utalipwa hiyo milioni nne, mpaka mtakapoweka makubaliano mapya. Kusema ulikula ugali na sukari, haibadilishi makubaliano ya mkataba wako wa kulipwa milioni nne!
Haya amesharuhusiwa kuondoka. Afuate utaratibu, aondoke. Maana Yanga ni kubwa kuliko yeye.FEISAL si alitaka kuvunja mkataba kwa kuwalipa YANGA, fedha ya kuvunja mkataba zaidi ya shilingi million 100?
Kwanini, Yanga walikataa kama hawana manufaa naye?
KIFUPI: Yanga wamwachie FEISAL akatafute maisha sehemu nyingine, siyo sahihi kupotezea madai yake eti Kwasababu MAJIMAJI ilikosa million 1, kwani FEISAL ni mchezaji wa MAJIMAJI, hata umlinganishe na uwezo wa timu hiyo?
FEISAL anaangalia uwezo wa kifedha wa Yanga na mchango wake ktk. Timu ya Yanga, ukilinganisha na malipo ya Wachezaji wengine ndani ya timu husika.
Angalia mzizi wa hoja yangu acha kuanza kuponda kabla hujasoma..nachosema angefuata utaratibu wa kuomba kuongezewa mkatba ujao au kuomba kurekebishiwa huo wa sasa...mimi nachoona anapoteza muda mrf na hizi kesi..Poor reasoning kwaiyo kama kuna watu wanalipwa laki 5 na yeye ndo asiseme mshahara mdogo. Angalia value ya kile mtu anacho fanya sio kufananisha mshahara na watu wengine. Kuna watu wanalipwa million 10 na bado wanalalamika mshahara mdogo.
Back to the topic Feisal anahaki ya kulalamika it doesn't matter ametumia njia gani he's fighting for his life akilkosa maslahi mazuri kesho mkamkuta amechakaa nyie nyie ndo mtakae msema vibaya
Hili jambo ni lakuweka hisia pembeni na kuangalia uhalisia zaidi
Hili jukwaa limesheheni wachangiaji ambayo akili ni kijikoCha chai na I.Q ambayo kwa nchi ambazo ziko serious na ustawi wa baadaye wa Taifa wangepigwa ban ya kuzaa ili wasiendelee kujaza nchi mataahira. Si unyamaze tu kuliko kuonyesha uchi wako wa akili?Poor reasoning
Mwambie Azizi Ki kuanzia leo awe ana chukua 4M kwasababu kuna timu ya majimaji ilikosa pesa ya nauli
Basi wakomae mikataba ijayo iwe ya kuwa feva wao...kwa sasa tayari wameshasaini..Mmmh hapana. Kwa Tanzania hii ya leo, huo ni mshahara mdogo kwa mchezaji tegemeo wa timu kama Yanga huku kwenye timu hiyo hiyo kuna wachezaji wanalipwa zaidi ya milioni 20, gap hiyo ina matatizo.
Linganisha vipato vya kina Diamond, Harmonize na Marioo ndiyo level anazotakiwa kuingiza mchezaji kama Feisal kama mmoja wa mastar wazawa. Hii najumuisha mshahara na mazagazaga mengine anayolipwa ndani na nje ya club.
Kiukweli kwa mpira wa sasa, kiwango cha chini cha malipo kwa timu kama Yanga au Simba kinatakiwa kuwa around milioni 8-10 na hii ni kwa wale wachezaji ambao ni wasugua benchi.
Nimewakaushia sio kama siwaoni ila sometimes upuuuzi unapozidi unakosa uvumilivuHili jukwaa limesheheni wachangiaji ambayo akili ni kijikoCha chai na I.Q ambayo kwa nchi ambazo ziko serious na ustawi wa baadaye wa Taifa wangepigwa ban ya kuzaa ili wasiendelee kujaza nchi mataahira. Si unyamaze tu kuliko kuonyesha uchi wako wa akili?
Wakati anasaini kiwango chake kilikuwaje? Na je kiwango kingeshuka mshahara ungepunguzwa?Nimewakaushia sio kama siwaoni ila sometimes upuuuzi unapozidi unakosa uvumilivu
Huyo mdau niliyemjibu, aliandika kuwa 4M ni pesa nyingi akajenga hoja kuwa Fei hapaswi kulaumu kwasababu kuna timu huko imekosa 1M ya nauli
Hiyo ni Argument from ignorantium, timu kukosa 1M sio kigezo cha mtu mwingine kushindwa ku demand pesa zaidi ya ile anayolipwa
Na ndio maana nimemuambia kama anaona hiyo ni reason, basi kamfate AziI Ki muambie kuanzia leo utalipwa 4M kwakua tumeona kuna timu imekosa 1M ya nauli, hivyo 4M ni pesa ngingi sana
Wote mliojibu hiyo post yangu, mmeijibu kimhemko na ndio maana wengi wenu nimewapuuza
unapozidi
Mdau nakuunga mkono Hawa wanaoilaumuYanga ndiyo mataahira. Niwape mfano rahisi unaoendana na akili zao finyu. Hivi ukioa mwanamke wa kawaida kabisa na ukapangiwa mahari na ukalipa vzuri. Mwenye mke ukamtunza vizuri na akapata Ile sura iliyofubaishwa kwa kukosa huduma huko kwao.Je ni halali kwa Wazazi kurudi kudai mahari nyingine kwa kigezo Cha kwamba hii pisi haikustahili mahari ya mwanzo.Ishu ya mkataba haina siasaNimewakaushia sio kama siwaoni ila sometimes upuuuzi unapozidi unakosa uvumilivu
Huyo mdau niliyemjibu, aliandika kuwa 4M ni pesa nyingi akajenga hoja kuwa Fei hapaswi kulaumu kwasababu kuna timu huko imekosa 1M ya nauli
Hiyo ni Argument from ignorantium, timu kukosa 1M sio kigezo cha mtu mwingine kushindwa ku demand pesa zaidi ya ile anayolipwa
Na ndio maana nimemuambia kama anaona hiyo ni reason, basi kamfate AziI Ki muambie kuanzia leo utalipwa 4M kwakua tumeona kuna timu imekosa 1M ya nauli, hivyo 4M ni pesa ngingi sana
Wote mliojibu hiyo post yangu, mmeijibu kimhemko na ndio maana wengi wenu nimewapuuza
Value ya mchezaji ina vigezo vyake mzee unafikiri kwanini kina Kambole hawapo, na Feisal mnazidi kumng'ang'ania?Wakati anasaini kiwango chake kilikuwaje? Na je kiwango kingeshuka mshahara ungepunguzwa?
Sasa turudi kwenye hoja. Fei ana haki ya kudai maslahi zaidi. Lkn anapaswa kufuata taratibu sahihi. Hoja za kishabiki za mitaani hazitamsaidiaHili jukwaa limesheheni wachangiaji ambayo akili ni kijikoCha chai na I.Q ambayo kwa nchi ambazo ziko serious na ustawi wa baadaye wa Taifa wangepigwa ban ya kuzaa ili wasiendelee kujaza nchi mataahira. Si unyamaze tu kuliko kuonyesha uchi wako wa akili?
Nakuelewa kidogo ,Ila ukakasi upo hapa tu ,why vilabu vina power ya kuvunja mkataba wa mchezaji muda wowote wakiona hawajaridhishwa na kiwango chake?Liverpool timu kubwa ilikataa kumuongeza maslahi Mane na Mane akawakatalia kuongeza mkataba mpya, ila hakuwahi kugoma mazoezini wala kugomea mechi. baada ya kuona mchezaji mkataba wale umebakia miezi michache na hataki kusaini mkataba mpya, Liverpool wakamuuza Bayern.
So swala la kuongezwa au kutoongezwa ni la timu iliyo msajili ndio itakayo amaua,ila ww mchezaji kama ukiona hawataki kukuongeza mzigo na ww husiongeze mkataba subiri mkataba wako uishe uende sehemu nyingine husigomee mazoezi wala mechi na ndivyo proffesional player wa ulaya wanavyofanya.
Kuhusu mchezaji kula hela kubwa mwengine ndogo, kila mchezaji ana wakala wake na term zake.So wakala wa Fei ni tofauti na Morrison na Aziz K na ndio maana wana mikataba tofauti.
Ni mzawa gani amewah thaminiwa kwenye hivi vilabu ?Soka sio kama siasa kwamba mzawa ndio mwenye haki, Soka ni biashara ndio maana hata huko tunakoiga mzawa sio hoja ila kipaji na mchago wa huyo mchezaji mwenyewe kwenye hiyo biashara.
Naamini unajua kina Ronaldo, Messi huko waliko wanalipwaje kwa wiki ukilinganisha na Wazawa.
Fei ana mkataba ambao kwa kipindi anausaini thamani yake ilikuwa hiyo anayolipwa, angesubiri mkataba mwingine au kufata taratibu za kuvunja mkataba ili aende sehemu anayoona ina maslahi makubwa kitu ambacho kila mtanzania anataka iwe hivyo, ila uhuni huu haukubaliki kwa kisingizio cha kuonewa.