FEISAL si alitaka kuvunja mkataba kwa kuwalipa YANGA, fedha ya kuvunja mkataba zaidi ya shilingi million 100?
Kwanini, Yanga walikataa kama hawana manufaa naye?
KIFUPI: Yanga wamwachie FEISAL akatafute maisha sehemu nyingine, siyo sahihi kupotezea madai yake eti Kwasababu MAJIMAJI ilikosa million 1, kwani FEISAL ni mchezaji wa MAJIMAJI, hata umlinganishe na uwezo wa timu hiyo?
FEISAL anaangalia uwezo wa kifedha wa Yanga na mchango wake ktk. Timu ya Yanga, ukilinganisha na malipo ya Wachezaji wengine ndani ya timu husika.