#COVID19 Baada ya Kumsikiliza na Kumuelewa vyema Dk. Seche Malecela, Kesho najipeleka mwenyewe Kupata Chanjo yangu ya UVIKO 19 niwe salama zaidi

Hopeless stop wasting my time here ok?
 
Priority ni wahudumu wa afya, umri 50> na wenye magonjwa. Wewe upo kwenye makundi hayo?
 
Ni kweli pombe ,fegi na papuchii watumiaji baadhi ya hivyo tupo .shida ni kuwa covid 19 yenyewe ni ya kutatanisha inahoja kibao ,mara vita ya kiuchumi mara sijui china imeleta,pili hizo chanjo zake pasua kichwa mara hatari na tunaona kupitia shuhuda nyingi madhara ,mara wanazuoni wanabishana wengine ni hatari wengine ni salama ,mara J&J wazungu hawaitaki inamadhara(u.s.a).ndo hizohizo wamezileta bongo haohao sirikali wanalumbana mara wengine hivi wengine vile.Sigara na pombe tunawaona ndugu zetu Toka wanakua madhara yapo ila ni accidentally,hili jipya Kwa sie wenye low IQ linatuyumbisha sio la kwenda nalo haraka watupe elimu ya kutosha .Ufukara unatusumbua Tena tuanze kuhangaika na effects za hayo machanjo si ndo kifo chenyew mkuu.In short unapew Bure ila sidhani Kama utatibiwa Bure ukipata changamoto.

Kwa ilo nachagua pombe,sigara na uzinzi .
 
Na hapo hapo mkono wake una kovu la chanjo ya ndui, na mtoto wake kenda kumdunga chanjo ya ndui lakini yote hayo hajawahi kuhoji lakini anakuja kuhoji chanjo ya corona!
 
The problem, mengi ya hayo uliyotaja kama sio yote yanaenezwa na hao hao watu aina ya Askofu Rashid!!

Tatizo kubwa la Tanzania ni moja....

Kwa bahati mbaya sana aliyekuwa Rais wa nchi alikuwa anatia kasoro kila kinachoongelewa na watalaamu kuhusu corona!!

Kutokana na hilo, viongozi walio chini yake karibu wote wakawa wanalazimika kuimba tune ya Mwenye Bendi,

Wafuasi wake ambao ni wengi kabisa wakalazimika kuimba tone ya mwenye band!!!

Tatizo la sasa sio tena kwa viongozi kwa sababu viongozi wamepata mkuu mpya na hivyo wanalazimika kuimba tone ya mkuu mpya!!!

Wale wafuasi KATU hawawezi kukubali kirahisi kubadili tone ya yule waliyekuwa wanamuunga mkono kwa jasho na damu kwa sababu, kufanya hivyo itakuwa ni kama wanamkosoa kwamba hakuwa sahihi!!

Hawa, sio kwenye chanjo tu, ni kama wameapa kulinda na kutukuza misimamo yote ya Mwendazake!!!

Hata hapa ukifuatilia, asilimia kubwa ya wapinzani wa haya hii ni Wafuasi Kindakindaki wa Mwendazake!!!

Hata huyo Gwajima, I doubt kama angekuwa na msimamo huu lau kama Mwendazake angekuwa na mtazamo tofauti!!
 
Tuna watu wa ajabu sana,mtu anakwambia hio ndio Chapa ya 666,kwahio ukiikwepa unasubiri kunyakuliwa na Yesu,mtu anasema hayo yupo baa analewa baadae anatafuta Malaya halafu anasema anasubiri kunyakuliwa.

Amesahau kwamba kuna amri kumi za Mungu.
 
Tusichoshane! Kama unatakakuchanja kachanje! Wengine hatudanganyiki!
 
Upo sawa mkuu, Mambo ya chanjo wapewe watu wenye UWEZO kuzungumza fact, Sasa utashangaa wengine wanazungumza tu KWa kudemka, mfano Gwajima, hamna kitu pale,labda nakubali Kwamba biblia Gwajima atatoa watu wengi nishai , nikiwemo na mimi,ila asijitwishe mzigo wa fani za watu, na wafuasi wake wanashabikia tu, kumbe wanaingizwa chaka


Duniani kote mpaka mda huu hakuna dawa yoyote isiokua na side effect, ila ili dawa ianze tumika lazima faida za dawa ziwe juu kuliko madhara,

That's yapo matibabu ya dawa yanaweza tolewa ukilenga dawa flan Kwamba side effect yake ndo inaenda tatua tatizo la mgojwa ,hii ipo

Vile vile chanjo zote ambazo hutolewa tz Sio Kwamba kila apatae mwili wake utaipokea sawa na mwingine, na inatokea Mara Chache Sana , that's Kuna form hujazwa na watoa huduma pale inapoonekana batch flani ya chanjo ina shida,lakini wanaweza ulizwa mfano maDMO Kwamba je wanapokea hizo report Mara ngapi KWa mwezi , jibu waweza kuta ni nadra Sana au hakuna KWa mwezi

Pongezi kwako mkuu kachanje, achana na wakina Gwajima
 
Hard talk
 
Uko sahihi fatilia kwanza kwa makini swala la afya yako ni muhimu sana kwako...
 
Hii naona siyo issue ya kutofautiana kimitazamo tu, bali ni chuki binafsi ambayo imeamshwa na tofauti ya mitazamo 😓😥
 
Kituo gani hicho
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Unafikiri unapeleka tako tu wanakupa chanjo? Tafuta hela mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…