#COVID19 Baada ya Kumsikiliza na Kumuelewa vyema Dk. Seche Malecela, Kesho najipeleka mwenyewe Kupata Chanjo yangu ya UVIKO 19 niwe salama zaidi

Watu wagumu kuelewa!!
Hujamuelewa Chige wewe. Pole sana.
 
Baada ya kusima hii, soon atarudi na bandiko lingine, vuta subira 😁!.
 
Na Wewe pia Mtetezi wa Tapeli wa Kiroho na Kiimani pale Ubungo usisahau pia Kumpelekea hiyo 'naniliu' yako ili 'aikung'ute' vizuri huku mkirekodiwa kisha iingie katika Shindano la Porn Movies World Wide sawa?
Sikutegemea mtu kama wewe unaweza kutoa matusi kiasi hiki.
Shame on you!!
 
Chanjo ya COVID-19 ufanisi wake ukoje
 
Chanjo ya corona huingiziwi sehemu ya virusi vya corona au kirusi kilichopunguzwa nguvu. Sasa maswali ya kujiuliza kwa nini uambukize na kwa nini uzalishe kirusi delta variant.

Chanjo zote zilizo chanjwa huko kipindi cha nyuma iwe ni ndui, polio homa ya manjano/ kijani, surua nk kulikuwa hamna sharti la kuvaa barakoa baada ya kuchanja ili usiendelee kuambukiza. Kwa corona ukichwanjwa lazima uendelee kuvaa barakoa. Barakoa itakuwa kama kuvaa soksi ya makalio sasa.
 
Magufuli alisema kabla ya kupokea chanjo itabidi wanasayansi wajiridhishe na ubora na ufanisi wake. Nitajie ni chanjo ipi ya UVIKO-19 ambayo nikifuata vizuri hatua zote za kisayansi wakati wa kuchanjwa nitakuwa siambukizi au siambikizwi?
 
Akili huna, ndo maana sentensi 2 zenye less than 50 characters umeshindwa kuzielewa na kukimbilia matusi... very stupid!!
Nimesikitika hajaelewa kuwa uko upande wake . Ana IQ kubwa huyu
 
Nenda tu kwa kuwa ni.maamuzi yako ila jiulize kwanza mara mbili
 
Unaikuta kapurwa imepauka miguu utadhani amelala jikoni eti anasema hataki chanjo eti wazungu wanataka kumuua.
Pambaf.
 
Naona Pro Kibwetere sana mnakuja tu.
Wapo watu wenye uwezo wa kuelezea na kushawishi (hata pumba/ujinga) na akakubalika na wasomi na wajinga.
SUALA la chanjo sihitaji kushawishiwa natumia AKILI ZANGU binafsi.



NB:MIMI NI TIMU MAGUFULI JANA,LEO,KESHO NA HATA MILELE.na gwajima NI NABII WA KWELI
 
CCM haipendi watu kama SECHE, huwezi ona aki-trend!
Ingekuwa ya Gwajima ama wema sepetu inge trend.
 
Asante sana! Mimi nilisema Mweche Malecela kwa makusudi alikwepa kutumia neno mRNA akasema hakuna sehemu ya kirusi kinachoingizwa kwenye seli bali kinachoingia kwe ye seli ni meseji!! Sasa unakataa nini na unakubali nini? Hii meseji ya Mweche ndio mRNA! Na hii meseji ni genetic material! Na siyo kwamba hii mRNA ni artificial hapana! Ila siyo full RNA ya corona. Bali wali -isolate ile sehemu ya RNA inayohusika na utengenezaji wa spike protein (the part which codes for the spike protein). Hii sehemu ndiyo wanayoiingiza kwenye seli ya mtu kupitia chanjo!! Yaani wanaamua kuidanganya seli kuwa hii mRNA imetoka kwenye DNA ya kwake wakati siyo!! Kwa hiyo hii mRNA iliyoingizwa haitatambuliwa kama foreign body!! Unapoanza kuingiza udanganyifu kwenye mfumo wa asili unaweka mazingira ya confusion kwenye mfumo mzima!! Hiyo ndiyo risk ambayo inaletwa na hizi chanjo za mRNA!!
Lakini kingine ni kuwa in a long run mfumo wa seli unaweza kuja kutambua hizo spike protein iliyotengeneza yenyewe kuwa SIYO foreign body, si zimetengenezwa na seli yenyewe!! Ikitokea hivyo, virusi wote jamii ya corona wenye spike proteins hawatatambuliwa na seli kama foreign body, kwa hiyo haitajaribu kutengeneza askari (antibodies) chidi yao maana imewatengeneza yenyewe!! Ikitokea hivyo mwili utakuwa na kinga sifuri dhidi ya virus hao na mtu lazima afe haraka!! Hii ndiyo risk kubwa kuliko zote! Ndiyo maana hii chanjo haiwezi kumkinga mtu asiambukizwe tena, maana mfumo wa ulinzi utaona spike protein ya corona kuwa ni ndugu! Hivyo kulazimu kutengeneza chanjo nyingine kama booster!! Mwisho wa siku mfumo wa kawaida wa asili wa kinga kushindwa kufanya kazi kabisa!! Hii ni hatari sana!
Mwisho ni kuwa kuna shaka kuwa kwenye chanjo ya corona kumepandikizwa vitu vingine ambavyo havihusiki kabisa na chanjo kutoka kwa watu wa new world order kina Bill Gate!! Side effect kama mkono kuwa magnetized (kuwa kama sumaku na kunasa vitu vidogo vya chuma) nk huwezi khvieleza kwa sayansi ya mRNA! For sure there is something fishy!! Wengine mkono unawasha bulb ndogo!! Hivi vitu vimewatokea baadhi ya watu na wameshuhudia na kusema laiti wangejua watakuwa hivyo wasingekubali kuchanjwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…