#COVID19 Baada ya Kumsikiliza na Kumuelewa vyema Dk. Seche Malecela, Kesho najipeleka mwenyewe Kupata Chanjo yangu ya UVIKO 19 niwe salama zaidi

#COVID19 Baada ya Kumsikiliza na Kumuelewa vyema Dk. Seche Malecela, Kesho najipeleka mwenyewe Kupata Chanjo yangu ya UVIKO 19 niwe salama zaidi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna Watu ambao achilia mbali tu Elimu zao kubwa bali hata uwezo wao mkubwa wa IQ na Kuchambua Masuala ya Kitaalam na Kitaaluma wakisema mambo GENTAMYCINE huwaamini na Kushawishika.

Kwa Ufafanuzi mzuri nilioupata kutoka kwa Mwanamama na Daktari Nguli Seche Malecela ( Mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Samuel Malecela ) kuhusu Chanjo hii ya UVIKO 19 Kesho asubuhi naanza Kuzunguka Hospitalini Kote Mkoani Dar es Salaam ili nikachanjwe nayo.

Nawatakieni kila la kheri wale Wote mnaomuamini Kibwetere aliyechangamka aliyeko Ubungo Mkoani Dar es Salaam ambaye anajinasibu ni Mchunga Kondoo wa Bwana wakati kumbe ni Tapeli tu wa Kiroho na Kiimani huku pia akiwa ni Muigizaji mzuri wa Sinema za Ngono Mitandaoni.

Ahsante sana Rais Samia kwa Chanjo hii.
 
Kuna Watu ambao achilia mbali tu Elimu zao kubwa bali hata uwezo wao mkubwa wa IQ na Kuchambua Masuala ya Kitaalam na Kitaaluma wakisema mambo GENTAMYCINE huwaamini na Kushawishika...
Ndugu yangu !!Afya yako ni muhimu sana.Ili jambo jambo halihitaji kukurupuka.Kwa sasa tuna bahati sana.Habari zote zipo Kiganjani mwetu.Sawa umemsikia Dr Malechela.

Lakin pia umesikia taarifa za huko USA jana ijumaa?Asilimia 75 ya waliochoma chanjo wanaumwa Covid serious. CDC imesema kati ya hao wengine walichoma chanjo mbili.Huu muda watanzania tujitahid kusoma taarifa Mara kwa Mara.Sio kama zamani tulivyodanganywa.
 
Ndugu yangu !!Afya yako ni muhimu sana.Ili jambo jambo halihitaji kukurupuka.Kwa sasa tuna bahati sana.Habari zote zipo Kiganjani mwetu.Sawa umemsikia Dr Malechela.Lakin pia umesikia taarifa za huko USA jana ijumaa?Asilimia 75 ya waliochoma chanjo wanaumwa Covid serious. CDC imesema kati ya hao wengine walichoma chanjo mbili.Huu muda watanzania tujitahid kusoma taarifa Mara kwa Mara.Sio kama zamani tulivyodanganywa.
Naona Pro Kibwetere sana mnakuja tu.
 
Unakunywa pombe kila siku hujachunguza madhara ya pombe.

Unavuta sigara kila siku, hujachunguza madhara ya sigara.

Unapasha chakula kwenye microwave kila siku- huna wahi kuchunguza athari za mionzi.

Unapigwa na jua kila siku- hujachunguza madhara ya mionzi ya jua kwenye ngozi.

Unavuta polluted air kila siku

Condom hujui hata bei yake.
 
Unakunywa pombe kila siku hujachunguza madhara ya pombe.

Unavuta sigara kila siku, hujachunguza madhara ya sigara.

Unapasha chakula kwenye microwave kila siku- huna wahi kuchunguza adhari za mionzi.

Unapigwa na jua kila siku- hujachunguza madhara ya mionzi ya jua kwenye ngozi.

Unavuta polluted air kila siku

Condom hujui hata bei yake.
He!! Nani huyo?
 
Naona Vibaraka wa Mabeberu tumepata mfuasi nguli....

Usisahau kupeleka a/c number yako pale ubalozi wa Yu Esi Eii ili uingiziwe kabisa mkwanja
Na Wewe pia Mtetezi wa Tapeli wa Kiroho na Kiimani pale Ubungo usisahau pia Kumpelekea hiyo 'naniliu' yako ili 'aikung'ute' vizuri huku mkirekodiwa kisha iingie katika Shindano la Porn Movies World Wide sawa?
 
Hivi kwanini we jamaa unapenda sana matusi bila sababu za msingi?!

Man, matusi sio ujanja... na wengine hatupendi tu ligi za matusi kwa sababu tunaona ushamba lakini matusi kama matusi, tunayaweza sana tu!!!

Btw, hivi umeelewa nimeandika nini hasa?!
 
Unakunywa pombe kila siku hujachunguza madhara ya pombe.

Unavuta sigara kila siku, hujachunguza madhara ya sigara.

Unapasha chakula kwenye microwave kila siku- huna wahi kuchunguza adhari za mionzi.

Unapigwa na jua kila siku- hujachunguza madhara ya mionzi ya jua kwenye ngozi.

Unavuta polluted air kila siku

Condom hujui hata bei yake.
Alafu anaogopa kuchanjwa[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom