Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,451
ZIKA iliishia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ChiefHongera mkuu kwa kujitambua.
HABARI YA JANA HIINdugu yangu !!Afya yako ni muhimu sana.Ili jambo jambo halihitaji kukurupuka.Kwa sasa tuna bahati sana.Habari zote zipo Kiganjani mwetu.Sawa umemsikia Dr Malechela.Lakin pia umesikia taarifa za huko USA jana ijumaa?Asilimia 75 ya waliochoma chanjo wanaumwa Covid serious. CDC imesema kati ya hao wengine walichoma chanjo mbili.Huu muda watanzania tujitahid kusoma taarifa Mara kwa Mara.Sio kama zamani tulivyodanganywa.
Kwa hiyo Marekani inajiambukiza? Ni bora hoja ikawa kwenye ufanisi wa chanjo kuliko kuzusha eti chanjo inaeneza covidNdugu yangu !!Afya yako ni muhimu sana.Ili jambo jambo halihitaji kukurupuka.Kwa sasa tuna bahati sana.Habari zote zipo Kiganjani mwetu.Sawa umemsikia Dr Malechela.Lakin pia umesikia taarifa za huko USA jana ijumaa?Asilimia 75 ya waliochoma chanjo wanaumwa Covid serious. CDC imesema kati ya hao wengine walichoma chanjo mbili.Huu muda watanzania tujitahid kusoma taarifa Mara kwa Mara.Sio kama zamani tulivyodanganywa.
Kasemaje??
Kama ni mtaalamu na IQ kubwa si atengeneze chanjo yeye mwenyewe!
Kasemaje??
Kama ni mtaalamu na IQ kubwa si atengeneze chanjo yeye mwenyewe!
Anaishia kuwa mwalimu wa Sayansi tu ya chanjo .Kasemaje??
Kama ni mtaalamu na IQ kubwa si atengeneze chanjo yeye mwenyewe!
Ndugu yangu !!Afya yako ni muhimu sana.Ili jambo jambo halihitaji kukurupuka.Kwa sasa tuna bahati sana.Habari zote zipo Kiganjani mwetu.Sawa umemsikia Dr Malechela.Lakin pia umesikia taarifa za huko USA jana ijumaa?Asilimia 75 ya waliochoma chanjo wanaumwa Covid serious. CDC imesema kati ya hao wengine walichoma chanjo mbili.Huu muda watanzania tujitahid kusoma taarifa Mara kwa Mara.Sio kama zamani tulivyodanganywa.
Taarifa hizi hazitakiwi kbs ChiefNdugu yangu !!Afya yako ni muhimu sana.Ili jambo jambo halihitaji kukurupuka.Kwa sasa tuna bahati sana.Habari zote zipo Kiganjani mwetu.Sawa umemsikia Dr Malechela.Lakin pia umesikia taarifa za huko USA jana ijumaa?Asilimia 75 ya waliochoma chanjo wanaumwa Covid serious. CDC imesema kati ya hao wengine walichoma chanjo mbili.Huu muda watanzania tujitahid kusoma taarifa Mara kwa Mara.Sio kama zamani tulivyodanganywa.
Ndugu yangu !!Afya yako ni muhimu sana.Ili jambo jambo halihitaji kukurupuka.Kwa sasa tuna bahati sana.Habari zote zipo Kiganjani mwetu.Sawa umemsikia Dr Malechela.Lakin pia umesikia taarifa za huko USA jana ijumaa?Asilimia 75 ya waliochoma chanjo wanaumwa Covid serious. CDC imesema kati ya hao wengine walichoma chanjo mbili.Huu muda watanzania tujitahid kusoma taarifa Mara kwa Mara.Sio kama zamani tulivyodanganywa.
Haya wafuate "wataalamu" wenzako, nenda na wenzako mkapate chanjo, sisi wajinga tuache na ujinga wetu na hizo barakoa zenu tutazivaa kama " gate pass"Kuna Watu ambao achilia mbali tu Elimu zao kubwa bali hata uwezo wao mkubwa wa IQ na Kuchambua Masuala ya Kitaalam na Kitaaluma wakisema mambo GENTAMYCINE huwaamini na Kushawishika.
Kwa Ufafanuzi mzuri nilioupata kutoka kwa Mwanamama na Daktari Nguli Seche Malecela ( Mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Samuel Malecela ) kuhusu Chanjo hii ya UVIKO 19 Kesho asubuhi naanza Kuzunguka Hospitalini Kote Mkoani Dar es Salaam ili nikachanjwe nayo.
Nawatakieni kila la kheri wale Wote mnaomuamini Kibwetere aliyechangamka aliyeko Ubungo Mkoani Dar es Salaam ambaye anajinasibu ni Mchunga Kondoo wa Bwana wakati kumbe ni Tapeli tu wa Kiroho na Kiimani huku pia akiwa ni Muigizaji mzuri wa Sinema za Ngono Mitandaoni.
Ahsante sana Rais Samia kwa Chanjo hii.
Naona Vibaraka wa Mabeberu tumepata mfuasi nguli....
Usisahau kupeleka a/c number yako pale ubalozi wa Yu Esi Eii ili uingiziwe kabisa mkwanja
Labda wasingechanja wasingekuwepo kabisaNdugu yangu !!Afya yako ni muhimu sana.Ili jambo jambo halihitaji kukurupuka.Kwa sasa tuna bahati sana.Habari zote zipo Kiganjani mwetu.Sawa umemsikia Dr Malechela.Lakin pia umesikia taarifa za huko USA jana ijumaa?Asilimia 75 ya waliochoma chanjo wanaumwa Covid serious. CDC imesema kati ya hao wengine walichoma chanjo mbili.Huu muda watanzania tujitahid kusoma taarifa Mara kwa Mara.Sio kama zamani tulivyodanganywa.
Chanjo ya Covid sio sawa na kununua majembe au majunguKuna Watu ambao achilia mbali tu Elimu zao kubwa bali hata uwezo wao mkubwa wa IQ na Kuchambua Masuala ya Kitaalam na Kitaaluma wakisema mambo GENTAMYCINE huwaamini na Kushawishika.
Kwa Ufafanuzi mzuri nilioupata kutoka kwa Mwanamama na Daktari Nguli Seche Malecela ( Mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Samuel Malecela ) kuhusu Chanjo hii ya UVIKO 19 Kesho asubuhi naanza Kuzunguka Hospitalini Kote Mkoani Dar es Salaam ili nikachanjwe nayo.
Nawatakieni kila la kheri wale Wote mnaomuamini Kibwetere aliyechangamka aliyeko Ubungo Mkoani Dar es Salaam ambaye anajinasibu ni Mchunga Kondoo wa Bwana wakati kumbe ni Tapeli tu wa Kiroho na Kiimani huku pia akiwa ni Muigizaji mzuri wa Sinema za Ngono Mitandaoni.
Ahsante sana Rais Samia kwa Chanjo hii.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Tuna watu wa ajabu sana,mtu anakwambia hio ndio Chapa ya 666,kwahio ukiikwepa unasubiri kunyakuliwa na Yesu,mtu anasema hayo yupo baa analewa baadae anatafuta Malaya halafu anasema anasubiri kunyakuliwa.
Amesahau kwamba kuna amri kumi za Mungu.
Imeeleweka kwa urahisi sana. We waache tu watakutana na moto wenyewe.Unakunywa pombe kila siku hujachunguza madhara ya pombe.
Unavuta sigara kila siku, hujachunguza madhara ya sigara.
Unapasha chakula kwenye microwave kila siku- huna wahi kuchunguza adhari za mionzi.
Unapigwa na jua kila siku- hujachunguza madhara ya mionzi ya jua kwenye ngozi.
Unavuta polluted air kila siku
Condom hujui hata bei yake.
Aisee bwashee unahangaika mitandaoni!!Tuko mguu mmoja....
Njia moja......
Baada ya ufafanuzi wa mh.Rais SSH.....
Baada ya ufafanuzi wa mh.Waziri wa afya ,Dr.Gwajima.....
Akafuatia Dr.Malecela.....
Nimeshibishwa vyema....elimu imeniingia.....
#TujitokezeniKuchanjwaJ&J
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
#NchiKwanza
#KaziIendelee
"Wewe wasema" bwashee.....Aisee bwashee unahangaika mitandaoni!!
How much are you paid?
Wewe masikini huna lolote Nani atake kukuua takataka Kama weweNdugu yangu !!Afya yako ni muhimu sana.Ili jambo jambo halihitaji kukurupuka.Kwa sasa tuna bahati sana.Habari zote zipo Kiganjani mwetu.Sawa umemsikia Dr Malechela.Lakin pia umesikia taarifa za huko USA jana ijumaa?Asilimia 75 ya waliochoma chanjo wanaumwa Covid serious. CDC imesema kati ya hao wengine walichoma chanjo mbili.Huu muda watanzania tujitahid kusoma taarifa Mara kwa Mara.Sio kama zamani tulivyodanganywa.
Alitimuliwa na serikali iliyopita....Alitimuliwa kwa upotashaji leo tunamchukulia mtu muhimu
Turi kumwe 😆😆😆😂😂 daah!...mbavu zangu jamani...Kibwetere aliyechangamka aliyeko Ubungo Mkoani Dar es Salaam ambaye anajinasibu ni Mchunga Kondoo wa Bwana wakati kumbe ni Tapeli tu wa Kiroho