Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,422
- 7,350
Hakika haujakoseaAsante mzalendo Jakaya Kikwete kwa kuzaa mzalendo John Magufuli kwa manufaa ya nchi yetu .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika haujakoseaAsante mzalendo Jakaya Kikwete kwa kuzaa mzalendo John Magufuli kwa manufaa ya nchi yetu .
Amani iwe nanyi wadau
Pamoja na kwamba Jakaya Kikwete amekuwa kiongozi kwa muda mrefu hadi kuwa rais wa Tanzania kwa miaka kumi ,nakiri wazi sikuwahi kuujua uzalendo wake kwa nchi ya Tanzania hadi leo November 2018 ndiyo nimegundua!
Nimejiridhisha pasina shaka kuwa Jakaya Kikwete ni mzalendo wa kweli wa nchi kuliko tunavyonfikiria.
Jakaya Kikwete ndiyo alikuwa na uamuzi wa mwisho nani awe rais ajae wa Tanzania lakini akatuletea Magufuli.
Jakaya Kikwete alikuwa anamjua Magufuli kuliko mtu mwingine yoyote , alikuwa anajua kabisa Magufuli hapendi rushwa na ufisadi ,alikuwa anajua kabisa Magufuli ana msimamo mkali usioyumba hata kwa dakika moja ,alikuwa anajua kabisa Magufuli kwake ni Tanzania kwanza na haoni shida kugombana na yeyote anayekanyaga masilahi ya Tanzania!
Swali kwa nini Kikwete pamoja na kuyajua yote haya bado akamteua Magufuli ?
Jibu ni rahisi tu ,Kikwete ni mzalendo wa kweli ndiyo maana alitaka amwachie nchi mzalendo wa kweli mwingine( Simba huzaa Simba). Kama Kikwete angekuwa ni fisadi kamwe nasema kamwe asingeruhusu Magufuli awe rais wa Tanzania na uwezo huo alikuwa nao.
Hotuba ya rais Magufuli leo kwenye kongamano pale udsm imeweka kila kitu wazi na kuacha bila shaka yoyote kwamba Magufuli anaijua Tanzania na ni mzalendo wa kweli kweli kwa nchi yake. Amezungumza kwa facts na data nchi ilipotoka ,ilipo na inaelekea wapi !
Magufuli ameonyesha wazi mchana kweupe kuwa ana uelewa mkubwa sana na inahitaji akili kubwa kumwelewa .Akili ndogo (chadema) kwa sasa hawatamwelewa Magufuli watakuja kuelewa baada ya miaka 20 ijayo.
Asante mzalendo Jakaya Kikwete kwa kuzaa mzalendo John Magufuli kwa manufaa ya nchi yetu .
Mungu akubariki sana na akupe maisha marefu.
Gunia la mahindi 18,000. Mkulima hoiPasi na kuwa na shaka yoyote, nchi yetu imepata Raisi. Uraisi si wakufurahisha watu, bali kusimamia misingi ata kama watu wote hawata kubaliana na wewe. Kiongozi wa aina hii ndiye tuliyekua tunamsubiri kwa muda mrefu. Yapo mapungufu, nadhani anabidi aelezwe na ayafanyie kazi, yeye si malaika wala muungu
Jamaa anafanya vitu vinavyo onekana wazi....
1.5 TUpo udhaifu wa hapa na pale katika utendaji wake lakini kwa kiasi kikubwa ukimtazama usoni unaona kuwa kile anachokiongea kinatoka moyoni.
Ananifurahisha ile tabia yake ya kufikiria nje ya boksi. Anakuwa na originality kwa kila anachokifanya, hataki kufanana na mwingine, ni kiburi fulani hivi ambacho wakati mwingine kinamsaidia.
Kila siku nakwambia ukichukua akili zako ulizokabidhi kwa kina mbowe, hutawaza hayaUkiniuliza marais watatu angalau-angalau Magu siwezi kumtaja. Niambieni mnabonyeza ngapi kuona hayo mnayonena. Mimi bado
Unafikiri demokrasia ikifa utakuwa haiKamuua nani?!!!
Acha maneno ya ndotoni
Kama Demokrasia ni hiyo unayoisema ww na kuitamka,
Basi Bora ife kbs
Maana haina akili wala adabu kwa Wakubwa zake
Madeni tunayakuta na tunakufa tukiyaacha yakitakiwa kullpwa na wale tunaowaacha hapa juu ya ardhi.Mwisho wa yote pasipo tija bado ni deni
Amani iwe nanyi wadau
Pamoja na kwamba Jakaya Kikwete amekuwa kiongozi kwa muda mrefu hadi kuwa rais wa Tanzania kwa miaka kumi ,nakiri wazi sikuwahi kuujua uzalendo wake kwa nchi ya Tanzania hadi leo November 2018 ndiyo nimegundua!
Nimejiridhisha pasina shaka kuwa Jakaya Kikwete ni mzalendo wa kweli wa nchi kuliko tunavyonfikiria.
Jakaya Kikwete ndiyo alikuwa na uamuzi wa mwisho nani awe rais ajae wa Tanzania lakini akatuletea Magufuli.
Jakaya Kikwete alikuwa anamjua Magufuli kuliko mtu mwingine yoyote , alikuwa anajua kabisa Magufuli hapendi rushwa na ufisadi ,alikuwa anajua kabisa Magufuli ana msimamo mkali usioyumba hata kwa dakika moja ,alikuwa anajua kabisa Magufuli kwake ni Tanzania kwanza na haoni shida kugombana na yeyote anayekanyaga masilahi ya Tanzania!
Swali kwa nini Kikwete pamoja na kuyajua yote haya bado akamteua Magufuli ?
Jibu ni rahisi tu ,Kikwete ni mzalendo wa kweli ndiyo maana alitaka amwachie nchi mzalendo wa kweli mwingine( Simba huzaa Simba). Kama Kikwete angekuwa ni fisadi kamwe nasema kamwe asingeruhusu Magufuli awe rais wa Tanzania na uwezo huo alikuwa nao.
Hotuba ya rais Magufuli leo kwenye kongamano pale udsm imeweka kila kitu wazi na kuacha bila shaka yoyote kwamba Magufuli anaijua Tanzania na ni mzalendo wa kweli kweli kwa nchi yake. Amezungumza kwa facts na data nchi ilipotoka ,ilipo na inaelekea wapi !
Magufuli ameonyesha wazi mchana kweupe kuwa ana uelewa mkubwa sana na inahitaji akili kubwa kumwelewa .Akili ndogo (chadema) kwa sasa hawatamwelewa Magufuli watakuja kuelewa baada ya miaka 20 ijayo.
Asante mzalendo Jakaya Kikwete kwa kuzaa mzalendo John Magufuli kwa manufaa ya nchi yetu .
Mungu akubariki sana na akupe maisha marefu.
Aisee kwa bandiko lako refu namna hii usipopewa uteuzi watakuwa hawajakutendea haki.naomba na mimi nitoe shukrani zangu kwa Jakaya kikwete kwenye uzi wako
Kiukweli nimeshindwa kujizuia kutoa shukrani za dhati kwa Jakaya Kikwete kwa uzalendo wake katika hii nchi. Kikwete wewe ni jabali, mwanajeshi wa ukweli bila magwanda.Watu wanasema huna akili na wanasahau wewe umelamba digrii UDSM kipindi hakuna google wala wikipedia.
Tena digrii ya nguvu ya uchumi sio ya sociology wala PSPA, huku wao wanaokuponda wamesoma miaka ya google ila UDSM tu wameshindwa kusoma kwa kukosa vigezo wameishia vyuo ulivyowaletea vya msaada.
Mtu amesoma Sauti au Jordan tena digrii ya ualimu, sociology au development studies. Halafu linaponda eti JK hana akili.Lenyewe UDSM tu limeshindwa kufika hii internet era.
Umefanya mengi sana makubwa hii nchi. Shule za kata leo house girl tu kumpata shida. Kila mtoto anafika sekondari.
UDOM ambayo ni jengo la CCM chimwaga ndio lililoanzisha chuo leo watu walioshindwa kufika UDSM wanapata nafasi ya kusoma nao chuo kikuu ila kwa kukosa shukrani wanakutukana.
Mabasi ya mwendokasi ni uroda. Asante sana Kikwete kuna mijinga inakuponda hujafanya kitu huku inapanga foleni kila siku na kadi zao za malipo kusubiri mabasi ya mwendo kasi. Kikwete unawacheka tu ukiwa Msoga na majuu kwenye trip zako zile.
Muhimbili heart institute, barabara leo Mwanza tunaenda siku moja tu full lami na bus luxury kama Dar lux, Green star, na mengineyo kiyoyozi from Dar to Mwanza kisa uzuri wa bara bara ulizojenga. Kuna wajinga wanasema hujafanya kitu huku inacharge simu zao kwenye hizo bus ikiwa safarini ( wanafikiri bila uzuri wa bara bara ni mtu gani angeweka ma bus mazuri kama hayo?)
Daraja la Kigamboni, Terminal 3 new airport DSM. Kitu JK Nyerere kama Dubai vile.
Mwisho kabisa kumpa nchi Rais Magufuli jembe ni bonge la zawadi kwa watanzania wote wapenda maendeleo ya nchi yao.
Mafisadi wanahaha kila siku wanadata kwa kasi ya Rais Magufuli na nina amini Tanzania mpya imeshazaliwa.
Ila Kikwete umetisha sana hasa style yako ya majina mfukoni na kumtanguliza Membe kama fake choice na kuweza kuwafool wana CCM 3000.
Barcelona walitawala mpira kwa style ya fake no 9 na Kikwete umeweza mpitisha Rais Magufuli wa style ya fake no 9 pia kwenye siasa.
Yaani unaudanganya uma kwa kumtanguliza mtu asiyefaa ili mabeki wamkabe asiwafunge kumbe mfungaji yupo nyuma. Anawafunga kiulaini tu.
Kabla ya kumuita jakaya kikwete mzalendo..jiulize ni Mali kiasi gani kajimilikisha ukianzia na mgodi wa dhahabu uliopo wilaya ya chunya mkoani mbeya.
Kama wewe unavyomwimbia sifa mboweAisee kwa bandiko lako refu namna hii usipopewa uteuzi watakuwa hawajakutendea haki.
Umejitahidi kuimba sifa zote za malaika mkuu jiwe tena kwa sauti kuu.
Watu mmeshajua kuwa ili jiwe akuteue lazima umsifie kwa kila kitu na kwa sifa zote.
Umependeza sanaHahaha
Be carefully with your wordsKabla ya kumuita jakaya kikwete mzalendo..jiulize ni Mali kiasi gani kajimilikisha ukianzia na mgodi wa dhahabu uliopo wilaya ya chunya mkoani mbeya.