Baada ya kumsikiliza Rais Magufuli, nasema wazi asante sana Jakaya Kikwete

Mtu akikutongoza wewe hukawii kumkubali
 
Gunia la mahindi 18,000. Mkulima hoi
 
1.5 T
 
Ukiniuliza marais watatu angalau-angalau Magu siwezi kumtaja. Niambieni mnabonyeza ngapi kuona hayo mnayonena. Mimi bado
Kila siku nakwambia ukichukua akili zako ulizokabidhi kwa kina mbowe, hutawaza haya
 
Kamuua nani?!!!

Acha maneno ya ndotoni

Kama Demokrasia ni hiyo unayoisema ww na kuitamka,
Basi Bora ife kbs
Maana haina akili wala adabu kwa Wakubwa zake
Unafikiri demokrasia ikifa utakuwa hai
 
Nakubaliana na wewe 1000%
 
Aisee kwa bandiko lako refu namna hii usipopewa uteuzi watakuwa hawajakutendea haki.

Umejitahidi kuimba sifa zote za malaika mkuu jiwe tena kwa sauti kuu.

Watu mmeshajua kuwa ili jiwe akuteue lazima umsifie kwa kila kitu na kwa sifa zote.
 
Kama wewe unavyomwimbia sifa mbowe
 
Kabla ya kumuita jakaya kikwete mzalendo..jiulize ni Mali kiasi gani kajimilikisha ukianzia na mgodi wa dhahabu uliopo wilaya ya chunya mkoani mbeya.
Be carefully with your words
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…