Baada ya kumuacha mke wangu amelia sana, naanza kumuonea huruma, nifanyeje?

Kama amejirekebisha msamehe. Ila punguza kulia lia

Ukiwa unalia lia ovyo anakuona dhaifu
 
Mnasaga hadi meno?Yakipukutika yote mtaongeaje na kuelewana?Anyway,hebu nyamazeni kwanza,mpige mafunda mawilimawili ya maji halafu myajenge upya.
 
Katika dunia hii usiwaaamini watu wawili kiurahisi rahisi
1. Mwanamke ambaye analia
2. Mwanaume ambaye anatabasamu
 
Msaidie kulia
 
Hivi watu mnapata wapi ujasiri wa kuyaanika ya ndani humu mitandaoni?

Alafu unakuta Kuna watu wanakushauri cha kufanya kuhusu juu ya huyo mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…