Baada ya kumuacha mke wangu amelia sana, naanza kumuonea huruma, nifanyeje?

Baada ya kumuacha mke wangu amelia sana, naanza kumuonea huruma, nifanyeje?

Wakuu naanza kumuonea huruma huyu mke wangu baada ya kumpiga chini sasa amenza kulia na kusaga meno yaani napata na huruma aisee na mimi naanza kulia na kusaga meno nakumbuka zile moment lakini moment nyingi zilikuwa za mimi kupigwa,kuchambwa na kutukanwa aiseee lakini sio kesi

Wakuu nifanyeje?
Kuna kitu alisahau kukifanya akiwa na wewe, just mpe nafasi aje amalizie then aondoke zake for good.
 
Back
Top Bottom